Sijawahi et niishie kwa Mange then nitoke... Big NO. Mara kadhaa namkumbuka nikiona watu wamemtag then nachungulia kwa juu juu kuona mawili matatu. BTW siamini anachokiamini yeye na siiamini serikali iliyopo pia. I give both of them 50/50
Dr. Luis ShikaEti celebrity yupi ana nguvu ya kushawishi, kueneza uongo, kuaminiwa kumzidi Mange Kimambi?
Wema Sepetu?
Alikiba?
Diamond Platnumz?
Zari?
Nilivyo ona ule ushuzi wa seduce me alivyo upromote na kutrend kiasi cha kuingiza mpk wanasiasa, nilinyoosha mikono juu.
Wema mwenyewe akiamshiwa dude humfuata mara moja waya malize.
Mange ana nguvu aisee, Akitaka taarifa zako dakika 5 ni nyingi, utafukuliwa hata yale usiokumbuka.
Live long Mange Kimambi.....!!
Isingekuwa kupiga watu block Mange asingekamatika kwa followersmond followers 4.1m mange 1.5m nani more maarufu zaidi
Uvccm buana povu debeMange ana umaarufu gani zaidi ya kupumuliana ushuzi na vijana wa Bavicha?
Vipi umemuamini sasa?C alisema wema anarudi ccm. Tunasubr utabr wake. Mm alinipa block kwa kumwambia ukweli. Akiongea uongo anasimamia uongo huo chuo. Hassan ngoma kafukuzwa clouds, Mara diamond hayupo vevo, nyumba ya south c yake, tiffah c wake, ukimwambia ukwel unakula block. Yeye na le mutuz wanataka uwasapot hata ujinga
Hilo ni wazo la Mtu aliyekwana mkuuKwahiyo hata Bill Gate wewe unamuona ni mwanamke tu? Acha mambo ya kizamani mkuu
Insta ni kama jf, ukitaka upuuzi unaupata ukitaka vya msingi unapata.Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app