Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 477
- 741
Vipi sasa umeanza kumuamini eenhC alisema wema anarudi ccm. Tunasubr utabr wake. Mm alinipa block kwa kumwambia ukweli. Akiongea uongo anasimamia uongo huo chuo. Hassan ngoma kafukuzwa clouds, Mara diamond hayupo vevo, nyumba ya south c yake, tiffah c wake, ukimwambia ukwel unakula block. Yeye na le mutuz wanataka uwasapot hata ujinga
Ukiona hivyo ujue umepigwa block ...Mange yupo sanaImeshayeyukaaaa....ukimsearch haipo tena zimebaki fan page tu doh...
Hapana kamsearch uone...block ya nini wakati hata sijamfollow na wala sijawahi comment popote IGUkiona hivyo ujue umepigwa block ...Mange yupo sana
Duuuuh kweli account haipo Dada,,,ujue Leo sikuingia kabisa insta,,,,vipi washa mreport niniHapana kamsearch uone...block ya nini wakati hata sijamfollow na wala sijawahi comment popote IG
Umeandika tu lakini ukweli unaujua wewe mwenyewe..!!!!Sijawahi kumfatilia na haitatokea jibwa tu kazi kubweka!
Icho icho ulichokisemaKwaahiyo hapa unataka tuchangie kitu gan
aangamizwe na kuteketezwa kwa moto wa petrol na gas kabisaMange kaza uzi, myanachama ya "Frastration" inalia huku. Hata wanaharakati dhidi ya ukoloni Afrika walijificha nje ya nchi na mwishowe ushindi ulipatikana. Eh Mungu wa mbinguni angamiza mdudu ccm
Girlish like this comentMwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Vipi mkuu imesharudi hewani?Kwa kweli najisikia aibu kuingia page za mastaa uchwara wa bongo,lakini kwa Mange nilishindwa kujizuia.
Masha pamoja na uanasheria wake anamtumia Mange issue za kupost
Yeye kwenye we kabisa manyangaVipi mkuu imesharudi hewani?
Huyu binti atarudi ccm sio siku nyingiSalaaam wanajamvi.
Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi. Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za mange kimambi tu kisha wanalog out. Yaani kiufupi page ya huyu mwanadada aishie marekani inatembelewa mara nyingi sana. I presume inaweza ikawa most visited page kutoka audience/followers wa kitanzania.
Mange amekuwa akijikita sana kutetea wananchi, kukosoa serikali, kuwachamba wabaya wake wanaomchokoza, kupigania freedom of speech n.k.
Swali: Je haujawahi kuingia instagram na moja kwa moja ukasearch page ya huyu dada na uliposoma posts zake ukaridhika then ukalog out? Admit it .....
Lugha gani hii kaka?Yeye kwenye we kabisa manyanga
Simu zenu hizi zinazingua,Mange kasema amemwaga manyangaLugha gani hii kaka?