Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

C alisema wema anarudi ccm. Tunasubr utabr wake. Mm alinipa block kwa kumwambia ukweli. Akiongea uongo anasimamia uongo huo chuo. Hassan ngoma kafukuzwa clouds, Mara diamond hayupo vevo, nyumba ya south c yake, tiffah c wake, ukimwambia ukwel unakula block. Yeye na le mutuz wanataka uwasapot hata ujinga
Vipi sasa umeanza kumuamini eenh
 
Mange kaza uzi, myanachama ya "Frastration" inalia huku. Hata wanaharakati dhidi ya ukoloni Afrika walijificha nje ya nchi na mwishowe ushindi ulipatikana. Eh Mungu wa mbinguni angamiza mdudu ccm
aangamizwe na kuteketezwa kwa moto wa petrol na gas kabisa
 
Taarifa kwa uma dada yetu kanyoosha mikono juu...kila mtu apambane hali yake
Screenshot_20171202-102738.png
 
Kwa kweli najisikia aibu kuingia page za mastaa uchwara wa bongo,lakini kwa Mange nilishindwa kujizuia.

Masha pamoja na uanasheria wake anamtumia Mange issue za kupost
Vipi mkuu imesharudi hewani?
 
Salaaam wanajamvi.

Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi. Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za mange kimambi tu kisha wanalog out. Yaani kiufupi page ya huyu mwanadada aishie marekani inatembelewa mara nyingi sana. I presume inaweza ikawa most visited page kutoka audience/followers wa kitanzania.
Mange amekuwa akijikita sana kutetea wananchi, kukosoa serikali, kuwachamba wabaya wake wanaomchokoza, kupigania freedom of speech n.k.

Swali: Je haujawahi kuingia instagram na moja kwa moja ukasearch page ya huyu dada na uliposoma posts zake ukaridhika then ukalog out? Admit it .....
Huyu binti atarudi ccm sio siku nyingi
 
Yaan mange now kaweka watu roho juu kweli maana ziiiiiiiii kmyaaaa
 
Back
Top Bottom