Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Kubali au kataa lakini page ya Mange Kimambi ya instagram ndio talk of the town kwa sasa

Sijui hata huko Instagram unaingiaje!

Na sina haja ya kuingia ilhali kuna ma sugarboys kama Salary Slip wanaoingia huko na kutuletea kinachojiri huko.

I stay put in my JF.
Mkuu Salary Slip naona umeguswa hapa, sijui una lipi la kusema kwa US baby.
 
Akitupa humu wengi sasa watakuwa na Uhuru wa kumjibu bila kupigwa kufuli kama IG,huku hatahimili kukosolewa maana hapendi sana kukosolewa,always she is right
Atalimwa ban kwa kuandika matusi
 
We miss u Mange ,yaani insta imepoaaaaa . Lakini upande mwingine tunashukuru sasa tunapita usingizi wa kutosha usiku maana tulikuwa tunakesha kwenye akaunti yako.Pia umetusaidia bajeti ya bando maana siwezi choma pesa yangu kununua bando eti kuangalia vitu ambavyo hata FB au whatsup au JF navipata . Mange ulikuwa exclusive kwa kweli .

Nakutakia mapumziko mema dada siku ukifanikiwa kurudi nadhani mahaba yetu yataongezeka mara 4
 
Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
mimi ni mwanaume tena wa kikurya ! "can you imagine?" lakini bado naingia instal! hakuna kitu ambacho kinanivutia insta kama matangazo ya viatu na 4nes! so think twice! Hiyo app ni kama maji tumia according to yur need!
 
Sijui hata huko Instagram unaingiaje!

Na sina haja ya kuingia ilhali kuna ma sugarboys kama Salary Slip wanaoingia huko na kutuletea kinachojiri huko.

I stay put in my JF.
Ndio maana nimekupa like maana tumekuwa sare sare maua.
 
Salaaam wanajamvi.

Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi.

Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za mange kimambi tu kisha wanalog out. Yaani kiufupi page ya huyu mwanadada aishie marekani inatembelewa mara nyingi sana. I presume inaweza ikawa most visited page kutoka audience/followers wa kitanzania.

Mange amekuwa akijikita sana kutetea wananchi, kukosoa serikali, kuwachamba wabaya wake wanaomchokoza, kupigania freedom of speech n.k.

Swali:
Je haujawahi kuingia instagram na moja kwa moja ukasearch page ya huyu dada na uliposoma posts zake ukaridhika then ukalog out? Admit it .....

Yaani wewe mwanaume kabisa unaanza kushabikia mambo ya kinyonge ya kina mambe kimangi.... are you really sane?? unapoleta issue kwenye jukwaa la watu wenye upeo mkubwa kufikiri lazima ujitathimini mara mbili mbili.
 
Hata Osamah walimchelewesha
Haahahaha hawa TISS wa bongo ndio wahack??? Labda website ya NEC ndio unamaanisha... Stop overrating them kma wameshindwa mkamata mpaka leo ingawa walishafanya hizo attempts ndio sembuse kuhack hawana wanaloweza zaidi ya kupambana na wapinzani tu
 
Sijawahi kumfollow mange
Watanzania ni wepesi kwenye kuchanganua mambo hii ni kutoka na mfumo wa elimu yetu
Sasa hivi Mange anaelekeza kamati kuu ya chadema nini kifanyike nao wanatii
Bahati mbaya kelele zake ni kama za chura hakuna hata moja analotukania linafanikiwa
 
Sijawahi kumfollow mange
Watanzania ni wepesi kwenye kuchanganua mambo hii ni kutoka na mfumo wa elimu yetu
Sasa hivi Mange anaelekeza kamati kuu ya chadema nini kifanyike nao wanatii
Bahati mbaya kelele zake ni kama za chura hakuna hata moja analotukania linafanikiwa
We nae bure tu, kwahiyo kama hujamfollow ndo tukuone kuwa ww una akili sana ama? Ulivo mjinga sasa hujamfollow ila unamfatilia ndo kinachoongelewa hapa, hakuna page ya insta wabongo wanayoipitia kama ya kimambi kwa sasa either uwe CCM/CHADEMA/huna chama

Una ushahidi kuwa mange ndio mshauri wa chadema? Kipindi cha uchaguzi mkuu 2015 mange alikuwa anaichamba chadema na lowasa wake vibaya mno ila hatukuskia watu wakisema mange ndo amekuwa mshauri wa kamati kuu ya CCM, tatizo lenu mmemjua mange mwaka jana ila midomo mirefu

What's goes around comes around puta...!
 
Back
Top Bottom