NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,135
Tupeni jina la account mpya basi anayetumia saiv wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka maneno hayo unamaanisha nini?Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Mkuu Salary Slip naona umeguswa hapa, sijui una lipi la kusema kwa US baby.Sijui hata huko Instagram unaingiaje!
Na sina haja ya kuingia ilhali kuna ma sugarboys kama Salary Slip wanaoingia huko na kutuletea kinachojiri huko.
I stay put in my JF.
Atalimwa ban kwa kuandika matusiAkitupa humu wengi sasa watakuwa na Uhuru wa kumjibu bila kupigwa kufuli kama IG,huku hatahimili kukosolewa maana hapendi sana kukosolewa,always she is right
mimi ni mwanaume tena wa kikurya ! "can you imagine?" lakini bado naingia instal! hakuna kitu ambacho kinanivutia insta kama matangazo ya viatu na 4nes! so think twice! Hiyo app ni kama maji tumia according to yur need!Mwanaume ambaye ana app ya Instagram sijui huwa namuonaje!It's more girlishly hiyo app
Ndio maana nimekupa like maana tumekuwa sare sare maua.Sijui hata huko Instagram unaingiaje!
Na sina haja ya kuingia ilhali kuna ma sugarboys kama Salary Slip wanaoingia huko na kutuletea kinachojiri huko.
I stay put in my JF.
Salaaam wanajamvi.
Kwa wale watumiaji wenzangu wa mtandao wa kijamii wa instagram wengi wenu mtakuwa mmemfollow mwanadada machachari anaeweza kuikosoa serikali bila woga:- Mange Kimambi.
Imefikia mahali sasa watumiaji wa insta wengi niliongea nao wanasema wakilog in wanaingia kusoma posts za mange kimambi tu kisha wanalog out. Yaani kiufupi page ya huyu mwanadada aishie marekani inatembelewa mara nyingi sana. I presume inaweza ikawa most visited page kutoka audience/followers wa kitanzania.
Mange amekuwa akijikita sana kutetea wananchi, kukosoa serikali, kuwachamba wabaya wake wanaomchokoza, kupigania freedom of speech n.k.
Swali:
Je haujawahi kuingia instagram na moja kwa moja ukasearch page ya huyu dada na uliposoma posts zake ukaridhika then ukalog out? Admit it .....
Haahahaha hawa TISS wa bongo ndio wahack??? Labda website ya NEC ndio unamaanisha... Stop overrating them kma wameshindwa mkamata mpaka leo ingawa walishafanya hizo attempts ndio sembuse kuhack hawana wanaloweza zaidi ya kupambana na wapinzani tuHata Osamah walimchelewesha
We nae bure tu, kwahiyo kama hujamfollow ndo tukuone kuwa ww una akili sana ama? Ulivo mjinga sasa hujamfollow ila unamfatilia ndo kinachoongelewa hapa, hakuna page ya insta wabongo wanayoipitia kama ya kimambi kwa sasa either uwe CCM/CHADEMA/huna chamaSijawahi kumfollow mange
Watanzania ni wepesi kwenye kuchanganua mambo hii ni kutoka na mfumo wa elimu yetu
Sasa hivi Mange anaelekeza kamati kuu ya chadema nini kifanyike nao wanatii
Bahati mbaya kelele zake ni kama za chura hakuna hata moja analotukania linafanikiwa