KILLERS KISS GUY
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 718
- 258
kama kweli umefanya tafiti leta data ambazo zinaonyesha wanafunzi wamefaulu sana somo la kiswahili kuliko masomo mengine yanayofundishwa kwa lugha ya kigeni, yaani prove kuwa always wanafunzi wanafaulu kiswahili kuliko english,biology,physics,math,history etc ndo ntakuelewa.katika tafti yangu ndogo nimegundua lugha ya kigeni katika elimu yetu ni mwiba katika maendeleo ya elimu yetu, kwani ili mwanafunzi aelewe kinachofundishwa mwalimu hana budi kunyanganya kiswahili, mfano mpaka mwanfunzi aelewe swali linataka nini lazima alijue kwa kiswahili ndo atajibu
kama kweli umefanya tafiti leta data ambazo zinaonyesha wanafunzi wamefaulu sana somo la kiswahili kuliko masomo mengine yanayofundishwa kwa lugha ya kigeni, yaani prove kuwa always wanafunzi wanafaulu kiswahili kuliko english,biology,physics,math,history etc ndo ntakuelewa.
Hebu angalia matikea ya darasa la saba.form4 na form 6 kiswahili performance yake ikoje. Lugha ya kusomea sio hii unayoongelea. Masomo yote itabidi yatafsiriwe kwa kishwahili. Fikiria geography.history.physics.chemistry.mathematics. Nakwambia kiswahili hakijitoshelezi kwa masomo mengi. Utaishia kutamka nwno la kiingereza kwa kiswahili. Hesabu za kiswahili. Calculus.numerical analysis.intergrate.differentiate.exponential function. Itakuwa ngumu kuliko ilivyo. Hebu nikuulize;Pole anaambiwa mtu ali aliyefiwa. Aliyeumia. Aliyechoka. Kwa kiingereza je?
Kwa kweli angalia kamusi ya kiswahili uone kama inajitosheleza. Sio. Inahitaji misamiati kibao tena ya kutunga sasa na haikuwepo kabisaaa.
Kama hujui lugha usidhani kiswahili kitakuokoa. Cha shule kigumuuu.
Snake cut cry....yaaani nyooka kata kuli AAA