shida yote ya nini? kama ni mpenzi wako na mnapendana na huna mwingine naye hana mwingine, zipo dawa za 72 hours. hapati mimba mpaka mtakapo amua au kuoana. vinginevyo kama hakuna mapenzi bali mnatimiza haja za mwili, condom ndio suluhisho au kuachana.