kubana uume baada ya tendo

kubana uume baada ya tendo

kwani ndomu hakuna mpaka utumie withdrawal method?,very risky kutumia hii njia,cmple advice tumia condom mkuu!
 
mada zinazoshabikia ngono zembe aaaahhh hamjambooo kabisa
 
shida yote ya nini? kama ni mpenzi wako na mnapendana na huna mwingine naye hana mwingine, zipo dawa za 72 hours. hapati mimba mpaka mtakapo amua au kuoana. vinginevyo kama hakuna mapenzi bali mnatimiza haja za mwili, condom ndio suluhisho au kuachana.
 
Back
Top Bottom