Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #61
Sure. Ni hivi karibuni tu imeanza kuona nyuzi ambazo waandishi wake wanakosea sarufi. %99 ya wanajf wana ufasaha wa kimaandishi na kimatamshiUkisoma story yenye mtirirko mzuri wa maneno, yakiwa yamepangiliwa vizuri huchoki mkuu.
Ninachoipendea jf pamoja na udhaifu wake, watu wanakuja na txt, xaxa nk then wanasoma mchezo na kubadilika ghafla😀