Kubananga: lugha ya Kiswahili, lawama ziende BAKITA

Ukisoma story yenye mtirirko mzuri wa maneno, yakiwa yamepangiliwa vizuri huchoki mkuu.

Ninachoipendea jf pamoja na udhaifu wake, watu wanakuja na txt, xaxa nk then wanasoma mchezo na kubadilika ghafla😀
Sure. Ni hivi karibuni tu imeanza kuona nyuzi ambazo waandishi wake wanakosea sarufi. %99 ya wanajf wana ufasaha wa kimaandishi na kimatamshi
 
Rombo ,mbusi=mbuzi😁
Kuna jamaa yangu fundi, akiniita ubini wangu huwa nacheka sana. Mtu anasema, "naomba niletee sile sote"🤣🤣🤣, bora machame na marangu!!
 
Kuna jamaa yangu fundi, akiniita ubini wangu huwa nacheka sana. Mtu anasema, "naomba niletee sile sote"🤣🤣🤣, bora machame na marangu!!
Sio kweli marangu na machame pia wapo hasa wa ukanda karibu na msituni kule mwisho wa makazi.
 
Sio kweli marangu na machame pia wapo hasa wa ukanda karibu na msituni kule mwisho wa makazi.
Wanaongeaje?🤣🤣ila mkuu wachaga mnajua kurap, yaani mnaongea haraka hata kuwasikiliza nachoka!
 
Moderators Fang Maxence Melo na wengine, naona kuna Mod karekebisha kichwa cha habari na bado kakosea. Isomeke, Kubananga lugha ya Kiswahili, lawama ziende BAKITA

Sio kama mlivyoweka hapo maana nami nitaonekana walewale
Alivyorekebisha kaibua maana mpya isiyohusiana na uzi.Warekebishe na kuandika ilivyokua awali.
 
ASANTE=AHSANTE, Tena tangazo hilo linarushwa kila mara kwenye TV najiuliza hao Bakita hawayaoni hayo makosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…