Kubeba Maboksi na Adha ya Kuzimikia Wasagaji


Hao niliokutana nao hawana hivyo, mmoja ana nywele ndefu za kizungu na mwingine ana nyingi za kiafrika - na hivyo vibanio hawana, wanavaa hereni tu za kawaida kama mabinti wengine
 

Mkuu bado niko mwenyewe natafuta mtu maishani, hao ni watu nimekutana nao shuleni kwa nyakati tofauti, tukawa marafiki na kupeana vitarehe, nikawazimikia pia nikadhani wamenizimikia ila baadaye ndio hivyo nikagundua kuwa wana wenza wanawake!

Kumbuka kwenye madarasa yenyewe mwanamke unakuta ni mmoja au wawili tu!
 

Mmh hizi rangi za zambarau na pinki hizi!
 

Mh..i can imagine..
 
Kama ameshesema ana mtu mwingine lakini siyo mwanaume basi atakuwa labda ni shoga , mashoga kwa wasaganaji wanaendana hata ndoa yao inapendeza sana
 
nimemcheki mmoja wao vizuri leo, hakuna hivyo vigezo vya usagaji vilivyotajwa hapo juu, tena leo alivaa charanga la nguvu, kha anadai ananichukulia mimi kama kaka yake tu!
 

now what is your point dude???

au hujasoma title??
 
Wasagaji wana ukataji wao wa nywele dizaini hivi, ukiwa makini utawapitia mbali!.


Waaaaaaaaaacha bwana, kumbe wanaukataji wa nywele tofauti, picha tafadhali ili tuwatambue, tukiona vibinti vyetu vinakata dizaini hizo au vina marafiki wanakata dizaini hizo tuvifuatilie, ukishakuwa na vibinti ukisikia story za hivi inabidi uvichunguze, picha tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…