Kubeba Maboksi na Adha ya Kuzimikia Wasagaji

Kubeba Maboksi na Adha ya Kuzimikia Wasagaji

Yah,wana ukataji fulani hv,hapa pembeni ya kichwa,upande wa juu wa sikio,kama hatanyoa dizaini hyo kuna vibanio flani vya zambarau huwa wanavifunga staili flani hv,or wengine wana wananyoa kidogo hapa utosini,
chukua hatua,mchunguze girl uliekuwa nae isije kuwa uko na mwanauwe mwenzio kwa mwenzako!

Hao niliokutana nao hawana hivyo, mmoja ana nywele ndefu za kizungu na mwingine ana nyingi za kiafrika - na hivyo vibanio hawana, wanavaa hereni tu za kawaida kama mabinti wengine
 
Kutwa kucha kuwaza chini tu, kaaaa.

Halafu tunataka maendeleo topics zetu kama si majungu ya kisiasa basi ni chini. Great sinkers indeed. Mara moja moja tu ndo ukute kitu sensible and technical.

Sasa mtu kakwambia ndiyo lifestyle yake hiyo unatakaje? Tukwambie na wewe utafute mwanamme mwenzako umlipizie kisasi?

Kuyataka myatake wenyewe, mkikutwa na visa msoviweza mtuletee sie, khaa.

Hivyo watoto wa kike na kinamama wote wanaotafuta mabwana we kila ukigusa unakutana na hao hao tu? Unawafuata gay bars ama sensors zako mbovu?

Mkuu bado niko mwenyewe natafuta mtu maishani, hao ni watu nimekutana nao shuleni kwa nyakati tofauti, tukawa marafiki na kupeana vitarehe, nikawazimikia pia nikadhani wamenizimikia ila baadaye ndio hivyo nikagundua kuwa wana wenza wanawake!

Kumbuka kwenye madarasa yenyewe mwanamke unakuta ni mmoja au wawili tu!
 
MadameB na Yamo wameangalia kipindi cha ellen sana ndio maana wanatoa hizi hinti 🙂 🙂. Kwa mtoa mada piga moyo konde and just move on, tafuta dada mwingine. wapo warembo str8 wengi tu.

N.B. lesbian asiyetaka kujionesha hatojulikana na yoyote

Mmh hizi rangi za zambarau na pinki hizi!
 
Mkuu bado niko mwenyewe natafuta mtu maishani, hao ni watu nimekutana nao shuleni kwa nyakati tofauti, tukawa marafiki na kupeana vitarehe, nikawazimikia pia nikadhani wamenizimikia ila baadaye ndio hivyo nikagundua kuwa wana wenza wanawake!

Kumbuka kwenye madarasa yenyewe mwanamke unakuta ni mmoja au wawili tu!

Mh..i can imagine..
 
Kama ameshesema ana mtu mwingine lakini siyo mwanaume basi atakuwa labda ni shoga , mashoga kwa wasaganaji wanaendana hata ndoa yao inapendeza sana
 
nimemcheki mmoja wao vizuri leo, hakuna hivyo vigezo vya usagaji vilivyotajwa hapo juu, tena leo alivaa charanga la nguvu, kha anadai ananichukulia mimi kama kaka yake tu!
 
Kutwa kucha kuwaza chini tu, kaaaa.

Halafu tunataka maendeleo topics zetu kama si majungu ya kisiasa basi ni chini. Great sinkers indeed. Mara moja moja tu ndo ukute kitu sensible and technical.

Sasa mtu kakwambia ndiyo lifestyle yake hiyo unatakaje? Tukwambie na wewe utafute mwanamme mwenzako umlipizie kisasi?

Kuyataka myatake wenyewe, mkikutwa na visa msoviweza mtuletee sie, khaa.

Hivyo watoto wa kike na kinamama wote wanaotafuta mabwana we kila ukigusa unakutana na hao hao tu? Unawafuata gay bars ama sensors zako mbovu?

now what is your point dude???

au hujasoma title??
 
Wasagaji wana ukataji wao wa nywele dizaini hivi, ukiwa makini utawapitia mbali!.

Waaaaaaaaaacha bwana, kumbe wanaukataji wa nywele tofauti, picha tafadhali ili tuwatambue, tukiona vibinti vyetu vinakata dizaini hizo au vina marafiki wanakata dizaini hizo tuvifuatilie, ukishakuwa na vibinti ukisikia story za hivi inabidi uvichunguze, picha tafadhali.
 
Back
Top Bottom