Kubeba madeli ya Ice-cream mgongoni ni hatari kwa Afya

unamaanisha kunyanduana huwa tunabebana mda wote kuna mikao mingi kama chuma bamia, dogy style au ukamuinamisha level ya ya meza, then ukamshusha level ya kisturi mkichoka hapo unaweza mpeleka mpaka level ya kisado
 
Hiyo levo ya kisado unaweza mfyatua pingili za mgongo[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Tahadhari hii inawahusu sana watoto wadogo ambao ni wanafunzi, watoto hawa hubeba mabegi yenye makauntabuku yanayofikia uzito wa kilo kumi kila siku!
 
Kazi gani ambayo haina changamoto?

Nina jirani hajawahi beba mzigo mgongoni, hajui hata unavyobebwa, ni programmer, ana shida ya mgongo na ameambiwa ni kutokana na kazi yake anakaa kitako sana.
Ni idadi ndogo hiyo, nao wanahitaji elimu kuepuka hilo. Occupational education.
 
Salaam zimfikie SSB anatuumizia vijana wetu Kila Kona ya jiji hili hasa DSM wamejaa na madeli ya ice cream mgongoni.
Hali hii ni kubwa hata kwa watoto wa shule wanaobeba mabegi mazito ya vitabu na madaftari kwenda na kurudi shuleni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wanawabeba mgongoni?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani wanawabeba mgongoni?
Vyovyoye utakavyolibeba mgongo utahusika. Mgongo utaathirika kupata ama kibyongo ama pingili za mgongo kushuka/kupandana (disc prolapse) na kuharibu mishipa ya neva kunakoweza kusababisha maumivu makali au ganzi ya miguuni, mikono, kibovu Cha mgojo au njia ya haja kubwa kutegemea ni pingili ipi ya mgongo imeathilika.
 
Salaam zimfikie SSB anatuumizia vijana wetu Kila Kona ya jiji hili hasa DSM wamejaa na madeli ya ice cream mgongoni.
Hii kampuni na nyingine zinazowapa vijana bidhaa zao kuzitembeza mitaani lazima zionywe kuhusu afya za vijana na zihusike na matibabu ya vijana hawa. Pamoja na kupata shida za kubeba vitu vizito kwa muda mwingi, pia Kuna wanaoathiliwa vifua na baridi ya barafu za kupoza vinywaji na ice-creams.
 
Ukimaliza kutoa ushauri wa kitabibu malizia kwa kutuambia tukale wapi
Sijakwambia uache, Nia yangu hapa ni kukuelimisha kuhusu aina hii ya utafutaji wa riziki ili usije kusema sikujua, ningejua au ukamtafuta mchawi.
 
Sijakwambia uache, Nia yangu hapa ni kukuelimisha kuhusu aina hii ya utafutaji wa riziki ili usije kusema sikujua, ningejua au ukamtafuta mchawi.
Hujui basi, watu hawabebani wakati wa tendo, kama unafanya hivyo uache mara moja, waulize wengine wanafanyaje.
 
Na watoto wa shule za msingi wanaobeba mizigo ya madaftari migongoni je, hakuna athari.
Mzazi kagua begi la mwanao asibebe vitabu na madaftari yote. Mtoto awe na ratiba ya masomo ya wiki nzima ili abebe Yale madaftari ya siku Ile TU.
 
Hakuna lolote,Mimi mwaka wa 20 huu nafanya mazoezi ya squats uzito mpk kg 150, na hakuna shida yoyote
Ubarikiwe, hayo ni mazoezi maalumu kwa watu maalumu. Ila kwa watu wazima wa kawaida uzito 60-70 Kg wanatakiwa kubeba uzito usiozidi 20Kg TU kwa afya ya mgongo. Wale wanaotumia usafiri wa ndege wanafahamu kuwa kama mzingo/begi litazidi uzito wa kilo 20-25 lazima walipe au wapunguze, malipo haya yanakwenda kwa wabeba mzigo/porters wa mabegi/mizigo kama fidia.
 
Kazi gani ambayo haina changamoto?

Nina jirani hajawahi beba mzigo mgongoni, hajui hata unavyobebwa, ni programmer, ana shida ya mgongo na ameambiwa ni kutokana na kazi yake anakaa kitako sana.
We jamaa bana,katika watu ambao wapo kwenye hatari ni pamoja na hao wanaokaa sana maofisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…