kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #41
Kila kazi/occupation inazo hatari/occupational hazards zake. Hapa Leo nimeongelea TU hatari za wabeba madeli ya ice cream na mizigo mitaani, siku ingine mtu mwingine au Mimi tutaongea kuhusu kazi nyingine. Kazi nyingine Zina mafao ya kuumia kazini, sijui kwa wabeba madeli kama nao wanalo hilo fao.We jamaa bana,katika watu ambao wapo kwenye hatari ni pamoja na hao wanaokaa sana maofisini