Kwa comments za mada hii inaonyesha kabisa bado tuna watu wa ajabu sana
Mtatawaliwa sana bila kujua haki zenu
Huduma muhimu katika nchi ni Police, Ambulance, Fire na zote zina umuhimu wake
Sasa mtu ana comment eti ukibebwa na Ambulance inakusaidia nini? Cha ajabu hajui kuwa huduma ya kwanza hutolewa kwenye Ambulance
Kweli kuna watu humu wanajua kuandika ila hawajui Ambulance ni nini, kweli?
Police kuwabeba labda walete sababu ya kuwa Ambulance hazitoshi lakini Ambulance ni muhimu maana hospital ndio kwao na huduma ya kwanza wao ndio wanatoa period
Waongeze Ambulance zaidi au kwenye ajali wawe wanaweka tents kwa huduma za haraka maana wengine huwa ni mshtuko tu na minors