Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

Kwa comments za mada hii inaonyesha kabisa bado tuna watu wa ajabu sana
Mtatawaliwa sana bila kujua haki zenu
Huduma muhimu katika nchi ni Police, Ambulance, Fire na zote zina umuhimu wake
Sasa mtu ana comment eti ukibebwa na Ambulance inakusaidia nini? Cha ajabu hajui kuwa huduma ya kwanza hutolewa kwenye Ambulance
Kweli kuna watu humu wanajua kuandika ila hawajui Ambulance ni nini, kweli?
Police kuwabeba labda walete sababu ya kuwa Ambulance hazitoshi lakini Ambulance ni muhimu maana hospital ndio kwao na huduma ya kwanza wao ndio wanatoa period

Waongeze Ambulance zaidi au kwenye ajali wawe wanaweka tents kwa huduma za haraka maana wengine huwa ni mshtuko tu na minors
 
Tatizo ni baadhi ya waliojitolea kuokoa hawakuzingatia uwepo wa Ambulance...yaani ujuaji mwingi.
 
Utakuwa shoga wewe
Wakibebwa na box body watapona?
Wakibebwa na open body watakufa?
Acha ushoga
 
Sitetei hichi kitendo. Lakini hii inasababishwa na kwamba nchi yetu bado ni changa na yenye watu illiterate na primitive na bado haijapitia magumu ya kutosha kuwa prepared na vitu kama hivi. So it make sense kufanya hivyo.
 
Nchi ya kipumbavu sana hii mkuu 😭
 
Nchi hi ni ya hovyo sana! Mama anaupiga mwingi sana! Na hamna ambulance hapa nchini Kuna land cruisers zenye mbwembwe na kelele TU!
 
Wewe Jamaa ni mmoja wa Watanzania wenye Ubongo wao kweli Ambulance ina first aid kit na wahudumu ndani wanaoweza kuokoa maisha kuanzia sehemu ya tukio kuwabeba wagonjwa kwa maeneo ya Mjini kabisa pale sio sahihi pale ilitakiwa zijae Ambulance za Hospital zote za Daslm pamoja na za Jeshi,Zimamoto kama wanazo pamoja na Polisi..
Ni vile hatuna kikosi maalumu kwa ajili ya majanga makubwa tupo busy miaka yote na akili za Uchaguzi tu hiki ulichowaza ni vizazi kadhaa mbele watakuja kufanya.
 
Mbali na Hilo ivi wameshindwa kuifunga kkoo yote shughuli za uokoaji zikaendelea ?
 
Asante kiongozi kwa kuliona hilo siasa nchi hii inaharibu sana professionalism
 
Sitetei hichi kitendo. Lakini hii inasababishwa na kwamba nchi yetu bado ni changa na yenye watu illiterate na primitive na bado haijapitia magumu ya kutosha kuwa prepared na vitu kama hivi. So it make sense kufanya hivyo.
Miaka 60 ya uhuru umri wa mtu mzima aliyestaafu kazi sema nchi ni masikini lakini sio changa
 
Watu wengi ni ziro brain hawaelewi umuhimu wa ambulance kwenye majanga kama haya
 
Utakuwa shoga wewe
Wakibebwa na box body watapona?
Wakibebwa na open body watakufa?
Acha ushoga
Wewe ziro brain kweli hujui hata umuhimu wa Ambulance kubeba majerehi ubongo wako umejaa mifunza ndio maana baadala ya kupinga kwa hoja unakimbilia kutaja mambo ya kipuuzi ya ushoga ambayo huwa unafanyiwa wewe
 
Kikubwa wamewahishwa hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…