Nchi inapitia balaa la ufisadi ni kwasababu viongozi wa nchi wakiongozwa na JK wanashindwa kuchukua maamuzi ya busara. Inakuwaje hujawahi kuandika kitu chochote kibaya kuhusu JK?
Hivi ni lazima aandike habari mbaya zinazo mhusu Rais ndo ufurahi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi inapitia balaa la ufisadi ni kwasababu viongozi wa nchi wakiongozwa na JK wanashindwa kuchukua maamuzi ya busara. Inakuwaje hujawahi kuandika kitu chochote kibaya kuhusu JK?
Engineer n Waberoya...Ur too much negative on Kubenea.Hivi mnataka kusema kuwa hilo mwanahalisi analiandika mwenyewe mwanzo mwisho?Give him a break!Ni waandishi wangapi wanaoandika kupitia mwanahalisi na 'wanailima' serikali hii ya JK na sometimes JK mwenyewe?Au ni mpaka aandike Kubenea mwenyewe??Hivi kitendo cha kubenea kumiliki gazeti ambalo hata akina Mwanakijiji wanalitumia kufikisha ujumbe kwa watz hamuoni kuwa ni kitu chema.Hivi huwa mnasoma uhuru+mzalendo??Yatazame ksha utajua namaansha nini.
Onyesha gazeti toleo gani aliloandika negative kuhusu JK?
Tunakusaidia wewe usipofunguka macho hatutaweza tena kukusaidia! au ndio wewe ni wale wanaodhani vita ya ufisadi imepamba moto, while nothing has been done to date
Kama mpigananaji na wengine woote walikuwa wambane JK, ama sivyo ni kucheza makida makida! upo hapo? 911 ukipokea simu ya hatari unafuata source na sio kuzunguka!
Hizi shutuma na tuhuma Kubenea aambiwe aje aseme hapa si ana uwezo wa kuutumia mtandao huu? karibu Kubenea
Mainjinia huwa hatutofautiani uwezo wa kufikiri na ku-analyse mambo!
Amejibu mengine, kuwa uhusiano wake na hao jamaa akiwemo JK, hajajibu!!
Mainjinia huwa hatutofautiani uwezo wa kufikiri na ku-analyse mambo!
Unamaanisha Mh. mwepesi!Wapotoshaji ni "vijana wajinga" aliyewataja kibanda. Nafikiri bwana Omar Ilyas unawafahamu vizuri saaana...
Time will tell.
ERB pale akina Balozi Patrick mpo?Du!! kwa mtaji huu unawadhalilisha mainjinia
Bodi ya wakurugenzi wa mwanahalisi ina vigogo wa chadema kadhaa, hii haina maana gazeti ni la chadema. Chadema kama chama hawana mamlaka yeyote kwenye hilo gazeti.
Nijuavyo mimi Kubenea amepania kugombea Rufiji kupitia chadema.
onyesha gazeti toleo gani aliloandika negative kuhusu jk?
Tunakusaidia wewe usipofunguka macho hatutaweza tena kukusaidia! Au ndio wewe ni wale wanaodhani vita ya ufisadi imepamba moto, while nothing has been done to date
kama mpigananaji na wengine woote walikuwa wambane jk, ama sivyo ni kucheza makida makida! Upo hapo? 911 ukipokea simu ya hatari unafuata source na sio kuzunguka!
Hizi shutuma na tuhuma Kubenea aambiwe aje aseme hapa si ana uwezo wa kuutumia mtandao huu? karibu Kubenea
Ushauri wangu kwa Kubenea: Kama ni kweli unataka kugombea ubunge, iwe kupitia Chama cha Mafisadi au Upinzani, acha! Wewe ni mpiganaji mzuri kwa nafasi uliyopo sasa MWANAHALISI. Endeleza mapambano kupitia MWANAHALISI, ukiungana na wapiganaji wengine (wa vyombo vya habari). Ukiondoka utaacha pengo kubwa kwenye medani ya habari. Tutalazimika kuendelea kusoma magazeti ya mafisadi tu kama Mtanzania.
Hapa nadhani ni suala la tafsiri tu! au nashindwa kuelewa maana ya kuandikwa vibaya lakini kwa maana kukosoa, nionavyo mimi kama kuna kiongozi anaongoza kwa kuandikwa vibaya na magazeti yote likiwemo MwanaHalisi ni JK. Unapoilalamikia Serikali au Chama kwa namna yoyote iwayo JK hana sababu ya kuwepa.Tungeweza kupitia nukuu nyingi sana katika gazeti la mwanahalisi ambazo pamoja na JK kutajwa au kutotajwa moja kwa moja lakini hawezi kukwepa kuhusika na ujumbe husika. Lakini ikiwa kuandikwa vibaya kwa maana ya kutukanwa nadhani siyo kazi ya gazeti lolote makini. Unakumbuka ile picha ya list of shame mzee?Kubenea,
Mbona mambo yako binafsi ya kumwagiwa tindikali ukataka kuyafanya mambo ya siasa? Ukaishia kuunguza mamilioni ya sisi maskini kwenda kukutibu India?
Mimi nasoma articles zako lakini nyingi ni kama za kupikwa. Unatumia ukweli mdogo na mambo mengine yote kupika.
Afadhali na wewe JF wameamua kukulima ili ujue dhambi ya kuandika habari za kupika ili kuchafua watu wengine.
Mbona hutaji uhusiano wako na Mengi?
Unaweza kutuambia jina lako lilifikaje kwenye report ya Richmond?
Nchi inapitia balaa la ufisadi ni kwasababu viongozi wa nchi wakiongozwa na JK wanashindwa kuchukua maamuzi ya busara. Inakuwaje hujawahi kuandika kitu chochote kibaya kuhusu JK?
Unawakwepa marafiki zako wa CCM hapa kwenye andiko lako wakati huko chini chini tunajua ndio unashinda nao?
Mwandishi yeyote anayetumiwa na wanasiasa kuandika habari za uwongo hawezi kuwa mpiganaji. Ukitaka kuwa mpiganaji lazima uwe na mawazo huru.