Kubenea na siasa za Kyela

Kubenea na siasa za Kyela

Status
Not open for further replies.
Wewe mbona ulipoambiwa una majina kibao hapa JF ukaruka kama kuku? Toa jina lako sahihi na wana JF watapigwa na shock maana unayoandika kwa jina la mwafrika hayaendani na wewe.

Nilipoambiwa na nani? Yaani wewe mkulima (nadhani jina lako sahihi ni vithieri Azizi bin Rostam) uniambie kuwa nitumie jina langu sahihi? jina sahihi ni lipi? bin Lowasa (bosi wa Mwakalinga) au bin Rostam (la kwako).

JF hailazimishi mtu kujitambulisha kwa majina yake mpaka anapoamua mwenyewe. Hivyo ndivyo walivyofanya watu wengi wakiwemo mwaklinga na Zitto.

Yaani unajichanganya hadi unachekesha. Paragraph ya kwanza unadai kuwa mimi nijitambulishe kwa jina "sahihi" kisha para ya pili unasisitiza cha kawaida (underscore the obvious) kuwa JF hailazimishi kujitaja?

Mwakalinga siasa zimekushinda, kaendeshe redio yako au kaendeleze maboksi ya lucient (wtf) maana angalau huko hautajichanganya kama hivi.

Tena naona Mwakalinga kafanya la maana kwa kulikubali na jina analolitumia siku zote za huko nyuma. Sasa kama kuna unafiki wowote nendeni kautafute na tuleteeni hapa ili tu,lime huyo Mtanzania aka Mwakalinga.

Mwakalinga bado hajui anachotaka: ubunge, upambe wa rostam, kufanya kazi ulaya, kuanzisha shule ya chekechea kyela, kuendeleza redio, au kuwa mpiga debe wa mafisadi ndani ya ccm.

Hadi hapo atakapofanya uamuzi huu, yeye ataendelea kuwa flip flopper of all times hapa JF.

Kubenea unafikiri mjinga, kaingia mitini kwasababu hana utetezi juu ya hili. Kwa lugha ya vijana amelikoroga, mwache alinywe.

Kubenea anasubiri kuona kama Mwakalinga atabadilisha story. Kila siku anabadili majina, maamuzi, na maandiko. Mtu mwenye akili za kutosha hawezi kujibu hoja za mtu asiye na msimamo kama Mwakalinga.
 
Mwakalinga. Heshima mbele Mkuu. Nichukue nafasi hii kukupongeza kwa nia yako thabiti ya kuwania Ubunge kupitia Jimbo la Uchaguzi la Kyela. Hii ni haki yako ya KIDEMOKRASIA. Full Stop.

Pamoja na pongezi zangu nina machache sana ya kushauri. Unapoingia kwenye siasa mara nyingi unatoa nafasi kubwa kwa jamii ikutazame mbele, nyuma, kulia na kushoto. Pia unapoingia kwenye siasa unakaribisha maadui wengi sana. Yupo jamaa yangu niliyesoma naye shule AMEAPA hataingia kwenye siasa kwa matukio aliyokuwa akiyafanya nyuma hasa tulipokuwa naye 'O' level.

Jina lako sasa hivi si geni tena kwenye masikio ya watanzania. Humu mitandaoni jina lako sasa linatajwa kila mahali, tofauti na nyuma japokuwa umekuwa ni mshirika mzuri tu kuanzia kule TANZANET, Jambo Forums na baadaye Jamii Forums. Utagundua jina lako limepata umaarufu pale tu ilipotangwazwa unakuja Bongo kwa maandalizi ya uchaguzi. Ninachotaka kukushauri hapa kaka ni vizuri sasa hivi yale yote unayoyaongea ukawa unayafikiria mara mbili mbili. Pamoja na 'uzushi' wote wa Kubenea dhidi yako hukustahili 'kushabikia' ile asidi aliyomwagiwa kaka. Wewe unataka kuingia pale 'mjengoni' ili uwe mtunga sheria. Hizo sheria nani atazilinda kama wewe mtunga sheria mtarajiwa unaona 'kudhalilishwa' kwako na Kubenea hakuhitaji tena sheria ya kumlinda zaidi ya kumwagiwa zile 'pili pili manga'? Inshallah Mungu akikujalia ukaja kwenye Kampeni utawakuta akina 'Kubenea' wengi tu huku. Hivi kuna mtu alichafuliwa jina kama Salimu Ahmed Salim? Angekuwa na 'mzuka' kama wako basi angetupa 'Hiroshima' na si Tindikali maana hao 'wachafuzi' walikuwa wengi mno!

Jambo jingine ndugu yangu ni vema ukawa makini sana na timu yako. Kwa maelezo yako mwenyewe ni wazi kuwa uko karibu sana na Mheshimiwa Mwakipesile. Kwa asilimia nyingi unajua kuwa hatagombea uchaguzi. Unajua kuwa kila Ijumaa anatoka Mbeya na kwenda Kyela na kurudi mwisho wa wiki. Unajua kuwa familia yake ipo Kyela tangu amewachaguliwa kuwa RC wa Mbeya. Ningekuwa mimi wewe ningejaribu sana kujipambanua kama sio kujiweka mbali na Mwakipesile. Nina wasiwasi unaweza kuja 'kuzoa' kura za Mwakipesile badala ya za kwako.

Wengi tunaamini kabisa Mwakipesile ni mwanamtandao. Kuwa karibu naye kutaashiria kabisa kwamba na wewe ni mwanamtandao au mwanamtandao mtarajiwa. Hili ndilo limepelekea wewe kuonekana uliamua kwenda Arusha kumuona EL ambaye kimsingi ndiye anaaminika kuwa kinara wa Mtandao Mafisadi hata kama ulikwenda kwa masuala yako binafsi. Ukaribu wako na Mwakipesile unaonekana kabisa kuwa umeletwa kuja 'kumwangamiza' Dk Mwakyembe. Jitengeneze uonekane kama Mwakalinga na si Mwakipesile. Kwa umri ulionao sio lazima mwakani uingie 'Mjengoni'

Wamejitokeza watu wengi sana humu kukutetea na kumwangamiza Kubenea. Ni vema ukajipambanua nao. Waache waseme wao. Wewe wasikilize. Usijiunge nao. Leo wanaweza wakaonekana ni wazuri kwako na wewe ukawasifia lakini watakuja kukugeuka na kuanza kusema 'mijineno' ambayo itaonekana kama wewe ndiye umewatuma waseme. Wale wote ambao ni jamaa zako waambie kabisa wewe hutaingia Bungeni kwa kumchafua Dk Mwakyembe kama ilivyo yeye hataingia bungeni kwa kukuchafua wewe. Waambie kabisa kazi ya kumuondoa Dk Mwakyembe pale Kyela ni ngumu sana inahitaji mkakati mzito na si 'vijineno' tunavyovisikia humu kwa desturi ya watu wa Kyela ninavyoijua.

Mwisho niwaulize wanajamii wenzangu, mbona hili la Kubenea kuja kujieleza 'limevaliwa njuga' sana wakati humu humu kuna 'wazushi' ambao huwa wanakuja na kuja nayo wakibanwa wanapotea halafu unawakuta kwenye thread nyingine wametulia tuliiiiiiii wanapiga miluzi kama sio wao?

Mwishoni nakukaribisha mwanangu tena uje Kyela ila elewa tu Dk Mwakyembe ni 'jiwe' kweli kweli hakikisha unakuja na 'fataki' maridhawa. Utakuwa umesikia matukio yaliyotokea siku za nyuma kwa watu walioingia kichwa kichwa. Njoo na SERA nzuri watu watakuelewa na usisubiri ile ile ILANI isiyotekelezeka ambayo hutungwa na 'vizee' ambavyo hata masikio yamechoka kusikia na yakisikia yanasikia kinyume, vitasikiaje wakati muda wote pale 'mjengoni' vinakuwa vimembonji kwa hiyo usikivu wao uko kindotondoto zaidi!
Gottee,

Nashukuru kwa ushauri wako wote. Ila hilo la Mwakipesile naona umekimbilia kwenye conclusion ambayo ni wrong. Mimi ni mdau wa siasa za Kyela kwa muda sasa na nawajua wahusika wote kwa undani hata kwa wale ambao sio marafiki.

Hata ukiniuliza habari za Mwakyembe nitaweza kukuandikia zote zile ambazo ni public hata kama sijaongea na Mwakyembe kama miaka minne sasa.

Habari nilizo nazo za Mwakipesile ni zile ambazo kila anayefuatilia habari za Kyela anajua. Unless hauko Kyela lakini kama uko Kyela ninaamini utakuwa na hizo habari.

Baada ya kusema hayo napenda niweke msimamo wangu wazi. Namfahamu Mwakipesile siku nyingi tokea alipokuwa mbunge wa Kyela. Yeye alikuwa hanifamu na tumeonana uso kwa uso mara moja ambayo ni mwaka huu nilipokuwa TZ. Nimewahi kuongea naye kwa simu mara kadhaa sikumbuki idadi ila haizidi mara tano. Sina ugomvi naye wala sina sababu ya kuficha kwamba namfahamu. Ila sidhani pia ni sahihi kusema niko naye karibu sana. Watu nilio karibu nao, naongea nao karibu kila wiki. Nitaendelea kuwasiliana naye sawa na mwana Kyela mwingine yeyote. Siwezi kumkataa au kumruka mtu kwasababu tu eti ni mwana mtandao, kama ni hivyo bora nikose huo ubunge na nitakuwa happy kufanya shughuli zangu zingine. Ungeniambia Mwakipesile ni jambazi au ni mhalifu, hapo ningeogopa hata kumsogelea, lakini kuniambia ni mwana mtandao, nikae nae mbali naona ni ushauri ambao hautanisaidia mimi, hauisaidii Kyela wala TZ

Ya Mwakyembe nayajua maana tulikuwa kambi moja 2005. Wacha mpambano ufike na ngoma iwekwe kati tayari na kwa mechi kuanza.
 
- Sawa sawa mkuu, tupo pamoja sana.

Respect.

FMEs!
 
- Sawa sawa, hapa umesikika sana.

Respect.

FMEs!
 
...............Jina lako sasa hivi si geni tena kwenye masikio ya watanzania. Humu mitandaoni jina lako sasa linatajwa kila mahali, tofauti na nyuma japokuwa umekuwa ni mshirika mzuri tu kuanzia kule TANZANET, Jambo Forums na baadaye Jamii Forums. Utagundua jina lako limepata umaarufu pale tu ilipotangwazwa unakuja Bongo kwa maandalizi ya uchaguzi. Ninachotaka kukushauri hapa kaka ni vizuri sasa hivi yale yote unayoyaongea ukawa unayafikiria mara mbili mbili. Pamoja na 'uzushi' wote wa Kubenea dhidi yako hukustahili 'kushabikia' ile asidi aliyomwagiwa kaka. Wewe unataka kuingia pale 'mjengoni' ili uwe mtunga sheria. Hizo sheria nani atazilinda kama wewe mtunga sheria mtarajiwa unaona 'kudhalilishwa' kwako na Kubenea hakuhitaji tena sheria ya kumlinda zaidi ya kumwagiwa zile 'pili pili manga'? Inshallah Mungu akikujalia ukaja kwenye Kampeni utawakuta akina 'Kubenea' wengi tu huku. Hivi kuna mtu alichafuliwa jina kama Salimu Ahmed Salim? Angekuwa na 'mzuka' kama wako basi angetupa 'Hiroshima' na si Tindikali maana hao 'wachafuzi' walikuwa wengi mno!

...........................................Mwakipesile ni mwanamtandao. Kuwa karibu naye kutaashiria kabisa kwamba na wewe ni mwanamtandao au mwanamtandao mtarajiwa. Hili ndilo limepelekea wewe kuonekana uliamua kwenda Arusha kumuona EL ambaye kimsingi ndiye anaaminika kuwa kinara wa Mtandao Mafisadi hata kama ulikwenda kwa masuala yako binafsi. Ukaribu wako na Mwakipesile unaonekana kabisa kuwa umeletwa kuja 'kumwangamiza' Dk Mwakyembe. Jitengeneze uonekane kama Mwakalinga na si Mwakipesile. Kwa umri ulionao sio lazima mwakani uingie 'Mjengoni'

.....................!

Mkuu Gottee.......nashukuru sana kwa maneno hayo hapo juuu.......na nimefurahi zaidi kuona hata Mtanzania aka Mwakalinga ametoa "Thanks"........nina imani nilichokuwa nikimueleza awali na hili ulilomueleza hapo juu kakuelewa...........
 
Jamani nina swali.

Hivi ni kweli Tiger Wood ameachana na mkewe? Nasikia alikuwa ana vimada hadi wacheza picha za ngono. Picha moja nasikia limechezwa katika 3D. Kuna mtu kashaiona? Nauliza hivi kwa sababu nimepata habari kuwa baba yake Tiger Wood alikuwa ana asili ya Kyela. Babu yake alihamia wakati baba yake Tiger Wood akiwa mdogo sana. Na kaka ya babu ya Tiger Wood alibaki pale Kyela na baadaye wakahamia Rungwe ambako ndiyo familia ya Mwakyembe inaishi.

Naomba watu wenye habari kamili watushushie hapa data.
 
Kyela Devcelopment Corporaiton (KDC)

Kuna nyepesi nyepesi zinasema kuwa hii kampuni amenunua Mbunge mmoja wa Wilaya iliyopo Mbeya. Bado niko katika kuwasiliana na mpashaji wangu habari. Mara nikipata habari ni Mbunge gani kanunua na kwa shilingi ngapi basi nitakujulisheni. Jamaa kapania kufungua hata KTV yaani Kyela TV.

Mfanye Subira na nitakujulisheni siku si nyingi.

Shetani ILAANI KYELA kwa watani wangu.

NB: Shalom, habari za siku Rabin. Umepotea kabisa kama makalio ya nyoka. Heri za Mwaka mpya kabisa mkuu maana natimka.
 
Kwa vile kuna kundi la watu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mtu mwingine yoyote (ndani ya CCM au nje yake) ambaye anaweza KUIONGOZA WILAYA YA KYELA (kuliongoza Taifa letu na kuwa Tanzania) bila ngwe ya pili ya Mwakyembe (Kikwete) haiwezekani basi CCM na mashabiki wa utawala bora wa Mwakyembe (Kikwete) waamue kubadilisha Katiba ili waondoe vikomo vya utawala na ikiwezekana wapitishe uamuzi wa kumtangaza Mbunge Mwakyembe kama Mbunge wa Maisha wa Kyela (Rais Kikwete kama Rais wa Maisha wa Tanzania.)

Kwa kufanya hivi angalau tutajua tugombee mambo ya UDIWANI (ubunge) tu kwani Ubunge (Urais) tayari una mwenyewe!

Yes kuna watu wanasema Ken Lee without Urais/ubunge kwa mihula miwili.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=_RgL2MKfWTo[/ame]
 
Kyela Devcelopment Corporaiton (KDC)

Kuna nyepesi nyepesi zinasema kuwa hii kampuni amenunua Mbunge mmoja wa Wilaya iliyopo Mbeya. Bado niko katika kuwasiliana na mpashaji wangu habari. Mara nikipata habari ni Mbunge gani kanunua na kwa shilingi ngapi basi nitakujulisheni. Jamaa kapania kufungua hata KTV yaani Kyela TV.

Mfanye Subira na nitakujulisheni siku si nyingi.

Shetani ILAANI KYELA kwa watani wangu.

NB: Shalom, habari za siku Rabin. Umepotea kabisa kama makalio ya nyoka. Heri za Mwaka mpya kabisa mkuu maana natimka.
Sikonge,

Kyela kuna KYELA DEVELOPMENT FUND (KDC). Hiyo ndiyo NGO ya mheshimiwa kupeleka maendeleo Kyela lakini pesa za mafuriko na maendeleo zinakusanywa na kwenda kujengea majumba ya kifisadi Dar.

Siku moja tutawaleteeni picha ya jumba la mheshimiwa mmoja pale Kunduchi, muwaone mafisadi wa kweli kweli na sio wale wa kusingiziwa JF. Siku ya msiba wa mamake, nilienda pale yaani sikuamini macho yangu. Mtu ambaye alikuwa hana hata kibanda, miaka minne ya ubunge tayari ana jumba la kifisadi kama hilo, pesa katoa wapi?

Jamaa waliahidiwa Radio na Mengi, akawaingiza mitini, sasa wanasema atawasaidia kupeleka TV. Wacha tufaidi radio yetu ya jamii Kyela FM Radio. Imewauma hiyo, wamenuna hao lakini wananchi wanafaidi, wenye chuki wachache hawawezi kuizuia Kyela kusonga mbele.
 
.
Mkuu fmes,
Juhudi za kumpata mtu makini Kubenea zimeshindikana?
.

Mkuu Sam.
1.Yule mjinga anayejiita Mwafrika or Solomon David or Mzee Mwanakijiji amesema hii ya Mwakalinga ni Low level na hivyo Kubenea hawezi kuja kuijibu.

2.Kwamba alijibu ya Zito kutokana na kuwa ilikuwa high Level.Ndiyo msomi huyo na anatumia muda wake mwingi kuikosoa serikali uku kichwani mwake ni mtupu.

3. Kwa hiyo inawezekana hata Fmes naye anataarifa hizo kuwa huyu Kubenea hawezi kujibu shutuma zidi ya Mwakalinga.

4.Fmes, alikuja kwa kumuomba sana Kubenea kujitokeza na sasa Fmes amebaki kuwashukuru tu wachangiaji bila kutujulisha juhudi zake za kumtafuta Kubenea zimeishia wapi.

5.Ufisadi uko kila pahali,kuanzia kwenye serikalini Media za akina kubenea na mpaka hapa JF.
 
Magoli,

Nilikuwa najua Mwafrika ndiye yule Mwafrika wa kiume (negate), kumbe hata Solomon naye?

Ila nimefuatilia uandishi wao unafanana.

Halafu tunawalaumu wahindi kutuzidi wakati sisi kazi yetu ni kushambuliana. Huku anajifanya rafiki ya Mwakalinga wakati huku anaendesha siasa chafu za kumchafua hapa JF bila sababu zozote.
 
Kyela Devcelopment Corporaiton (KDC)

Kuna nyepesi nyepesi zinasema kuwa hii kampuni amenunua Mbunge mmoja wa Wilaya iliyopo Mbeya. Bado niko katika kuwasiliana na mpashaji wangu habari. Mara nikipata habari ni Mbunge gani kanunua na kwa shilingi ngapi basi nitakujulisheni. Jamaa kapania kufungua hata KTV yaani Kyela TV.

Mfanye Subira na nitakujulisheni siku si nyingi.

Shetani ILAANI KYELA kwa watani wangu.

NB: Shalom, habari za siku Rabin. Umepotea kabisa kama makalio ya nyoka. Heri za Mwaka mpya kabisa mkuu maana natimka.

Hii ni ya mbunge wa monduli na mara ya mwisho nimeangalia, monduli haiko mbeya.
 
Yule dogo ameowa juzijuzi kwenye familia ya Mwakyembe.

Sasa huwezi kuwashitaki Wakwe zako. Unafahamu tena kama penzi limekukolea.
Aliomba mwenyewe kufuta kesi ya utekaji. Sijui ni Binti alimghiribu??

Unataka kusema kuwa Mwakalinga na Rostam Azizi wana ushirika wa mapenzi ya ndoa?
 
Kubenea,

RC Mwakipesile anasema alikupigia simu na umeomba msamaha kwa kumchafua, je ni kweli? Kama ni kweli si njoo uandike hapa JF badala ya kuomba msamaha kwa chini chini?

Alikuwa anahutubia baraza la madiwani la halmashauri ya Kyela.

Pia aliongelea madai ya kwamba yeye anajiandaa kugombea ubunge. Amekanusha vikali na kusema alikuwa mbunge miaka 10 na sasa kapewa cheo kikubwa zaidi, atakuwa mjinga kurudi kung'ang'ania ubunge wenye matusi kibao.

Lingine alifanya utani kwa kuwaambia wajumbe hakujua kumbe ana mtandao mkubwa sana ambao umefika mpaka London? Kama ana uwezo wa kumchomoa mtu London na kumleta Kyela, hayo ni mafanikio makubwa sana.

Lingine aliongelea kuhusu kufukuzwa kazi kwa mwenyekiti wa halmashauri. Alisema yeye na Tamisemi wameridhia, hivyo mzee Kisugujila ndio hivyo kitumbua kimeota mchanga.

Habari ndiyo hiyo, nimewaambia waandishi waliokuwepo wanipatie copy na kama wataleta nitawatumieni.
 
.

Mkuu Sam.
1.Yule mjinga anayejiita Mwafrika or Solomon David or Mzee Mwanakijiji amesema hii ya Mwakalinga ni Low level na hivyo Kubenea hawezi kuja kuijibu.

2.Kwamba alijibu ya Zito kutokana na kuwa ilikuwa high Level.Ndiyo msomi huyo na anatumia muda wake mwingi kuikosoa serikali uku kichwani mwake ni mtupu.

3. Kwa hiyo inawezekana hata Fmes naye anataarifa hizo kuwa huyu Kubenea hawezi kujibu shutuma zidi ya Mwakalinga.

4.Fmes, alikuja kwa kumuomba sana Kubenea kujitokeza na sasa Fmes amebaki kuwashukuru tu wachangiaji bila kutujulisha juhudi zake za kumtafuta Kubenea zimeishia wapi.

5.Ufisadi uko kila pahali,kuanzia kwenye serikalini Media za akina kubenea na mpaka hapa JF.

Kubenea bora ubaki huko uliko kuliko kujishusha kwenye level hii ambayo Mwakalinga amefikia.

Kwa nguvu yote hii (na mipovu na mitusi) anayojaribu kuupata ubunge huu wa kyela leo 2009, nini kitamzuia asitumie the same technic mwaka 2014, 19, 24, 29, 34, 39, 44, 49, 54, 2059, mpaka atakaposhindwa kuamka kwa uzee.
 
Kubenea,

RC Mwakipesile anasema alikupigia simu na umeomba msamaha kwa kumchafua, je ni kweli? Kama ni kweli si njoo uandike hapa JF badala ya kuomba msamaha kwa chini chini?

Alikuwa anahutubia baraza la madiwani la halmashauri ya Kyela.

Pia aliongelea madai ya kwamba yeye anajiandaa kugombea ubunge. Amekanusha vikali na kusema alikuwa mbunge miaka 10 na sasa kapewa cheo kikubwa zaidi, atakuwa mjinga kurudi kung'ang'ania ubunge wenye matusi kibao.

Lingine alifanya utani kwa kuwaambia wajumbe hakujua kumbe ana mtandao mkubwa sana ambao umefika mpaka London? Kama ana uwezo wa kumchomoa mtu London na kumleta Kyela, hayo ni mafanikio makubwa sana.

Lingine aliongelea kuhusu kufukuzwa kazi kwa mwenyekiti wa halmashauri. Alisema yeye na Tamisemi wameridhia, hivyo mzee Kisugujila ndio hivyo kitumbua kimeota mchanga.

Habari ndiyo hiyo, nimewaambia waandishi waliokuwepo wanipatie copy na kama wataleta nitawatumieni.

Bwa ha ha ha,

Eti msomi aliyekubuhu wa IT na mfanyakazi wa lucient! Kila siku wanachagua maadui (milioni 400 za lowasa na rostam at work).
 
mabneno mbofumbofu................yaani mwandishi tukuelewe kwamba hujui kuwa mwakalinga na mwakipesile wamenunuliwa na ROSTAM NA LOWASA NA AKINA KARAMAJI ili kumweangusha mwakyembe.....????????hujui au unajifanya hujui......bora useme kuwa hujui ili ujue vinginevyo tutajua u mmoja wa mateka wa mafisadi na wewe pia umetumwa na una mgawo wako kutoka kwa magwiji hao wa mihela ambao wametaja 1% ya mali zao na utajiri wao........kazi ipo kwa wanakyela mimi binafsi nawachukulia wanakyela klihistoria kama watu wenye misimamo thabiti na wasioloweshwa kwa vijisentina wasomi...........wakifikia hatua ya kukubali kuvurugwa na watu kutoka kaskazini kama mwarabu wa kisukuma ROSTAM NA AKINA LOWASA WALIOKATALIWA KWENYE UONGOZI TANGU ENZI ZA MWALIMU basi mimi nitawashangaa sana ndugu zangu.....................ukikataa kuamini njama madhubuti zilizopo na chuki za wazi kabisa dhidi ya mwakyembe hufai kuhangaika kumlaumu saed kubenea.................nani hamjui kubenea jinsi alivyo professional katika uandishi wake wa habari mpaka anachafua vitumbua vya watu wanadiriki hata kumwandama na kumwagia tindikali na kupokonya vitendea kazi vyake? au nawewe makala zake zinapelekea kukosa kitumbua hapo baadae.............we si unahela za mafisadi nenda kampe kubenea asiwaandike ujue uadilifu wake kwa taifa hili................watu wachache wameamua kujitoa kwa ajili ya taifa hili afu wengine tena bila adabu kabisa wanajaribu kukejeli jitihada za kiujasili kiasi hiki..................unadhani bila ripoti ya kamati iliyoongozwa na m,wakyembe kutolewa vile kungekuwa na kunyoosheana vidole unakoona saaizi.............tusingejua epa na mengine lukuki ambayo yamekuwa yakiongelewa na kila mtz kama wimbo wa taifa yalivyokaa vinywani mwa watz...........fikiri tungepata akina mwakyembe hata 10 nchi hii si tungepiga hatua jamani?.....................
NABII HAKOSI HESHIMA ISIPOKUWA KWAO NA KWA JAMAA ZAKE MWENYEWE-ndicho kinachotokea kwa MWAKYEMBE.
Mkuu Kubenea,

Najua ni mwana JF; hata kama una mapenzi na mtu mmoja kwenye siasa za Kyela lakini magazeti yako hayana haki kuingia kuchafua watu wengine bila sababu zozote. Ulichoandika kwenye makala hii hasa kuhusu Mwakalinga ni majungu na uongo mtupu. Nitafafanua zaidi hapo chini.
 
.
Mkuu fmes,
Juhudi za kumpata mtu makini Kubenea zimeshindikana?

3. Kwa hiyo inawezekana hata Fmes naye anataarifa hizo kuwa huyu Kubenea hawezi kujibu shutuma zidi ya Mwakalinga.

4.Fmes, alikuja kwa kumuomba sana Kubenea kujitokeza na sasa Fmes amebaki kuwashukuru tu wachangiaji bila kutujulisha juhudi zake za kumtafuta Kubenea zimeishia wapi.
- Zikishindikana nitakuwa mtu wa kwanza kusema, nenda tena utizame maneno yangu huu ni msimu wa Holidays, watu wako bussy na hakuna haraka anyways, asipopatikana kabisa nitasema mwenyewe.

However: mmesema ya kutosha, ningewaombeni kuwa makini kidogo maana kushindana na waandishi wa habari wanaotumia kalamu kuandika maandishi ambayo hayafutiki na yanalifikia taifa zima, as opposed na hekima za huku kwenye mtandao inaweza kuwa strategy yenye hitilafu mbele ya safari.

- I understand kwamba Kubenea has a lot to explain na hii article, lakini ningewaomba sana kwamba huu mwendo milionao kwenye hii thread ni wa kasi sana kwa wanaotafuta, punguzeni speed kidogo!

- Ni ushauri wangu mdogo na wa bure tu!, mnaweza kuukubali au kuukataa, lakini kumbukeni kuwa sasa ni mapema mno na hizi za hii thread, ninasema it is too early! even though ninashukuru sana maana inaonekana toka mwanzoni wa hii thread jina langu ni muhimu sana na hizi siasa za Kyela, I love it keep it up!

Respect.

FMEs!
 
Unataka kusema kuwa Mwakalinga na Rostam Azizi wana ushirika wa mapenzi ya ndoa?

Niliandika kuwa kijana kaowa familia ya Mwakyembe. Sasa sijui ulisahau miwani ya PILI na hivyo ukaona ni Mwakalinga na Rostam.

Mkuu, ninawasiwasi na wewe kuwa huwa huoni hata sehemu unaingia. Inawezekana kabisa Mkuu huwa unachanganya hata milango ya mbele na wanyuma....... au WA JIRANI.

Tuseme unasema kweli. Niliandika Mwakyembe wewe unasema Mwakalinga. Na tukiandika Mwakalinga tunamaanisha Mwakyembe? Kama ni hivyo mechi imeisha. Aliyepokea milioni 400 kummaliza Mwakalinga ni Mwakyembe. Na ni Mwakyembe aliahidi watu LAPUTOPU.

Mwakyembe timu, mwakani mna hali mbaya. Kitu kipya kinatema hadi Malawi/Zambia wanapata habari yake. Watu walifikiri utani, wakabeza wee na sasa wamelowanisha Pants zao kwa uvundo. Na kwa kuwaumiza roho, kitu ni cha JAMII ya Wanakyela na si cha mtu binafsi. Hata Mwakyembe anaweza kuja kutumia.

WATANZANIA siyo MABWEGE TENA. Mwakani watapima PUMBA na MCHELE.

Mambo ni Chaaa chaa kwaaauuppppp, Kyela FM iko hewani...... HONGERA wana KYELA kwa kufanikiwa kuwa na mtambo wenu. Wenye wivu waende wakatafute kamba na mchague Matawi manene maana wengine WAMENONA hao, katawi kadogo katakatika na zeozi la kujinyonga likwame. Milioni 5 walizopewa Mwaka 2005 na Rostam tumeshapata habari. Mwakani tutabanana hadi mtu akiri na kuzirudisha Banki Kuu. Posho mbili nazo itabidi watu wazirudishe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom