Kubenea na siasa za Kyela

Kubenea na siasa za Kyela

Status
Not open for further replies.
naona watu wanatafuta ban za nguvu sasa.

nawatakia mwaka 2010 wenye mafanikio na afya njema
na ufikapo wakati wa kampeni rasmi mpambane kwa hoja
na wala si vioja.
 
Kazi kwelikweli vijana wa katumba songwe naona mnaleta siasa za katumba ,kyela sio ya wana katumba tu ni ya wote wenyeji na wakazi wa wilaya ya Kyela tafadhalini muleke ubwite ubwinu,nilifikiri hiki kizazi cha wana katumba mumeacha ushari wa kipindi cha zamani kumbe bado,badilikeni bana mbona hatuwasikia watu wa Ipinda au Kajunjumele au Mwaya au Itunge na sehemu nyingine kuleta mambo ya kujifanya kutetea udugu wa kutoka kijiji kimoja huo ni ubaguzi wenu watu wa Katumba Songwe inafaa muone aibu kwa hayo malumbano yenu ya hapo kijijini kutaka kuyafanya ya Kyela yote mukukosya isoni balumiana
 
Hatutavumilia siasa za kuchafuanabkwa kuitumia JF. Mkiendelea tena hatua kali zitachukuliwa.

Mada hii imefungwa moja kwa moja!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom