PreGE2025 Kubenea: Tundu Lissu alishiriki kumkataa Lowassa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.

Your browser is not able to display this video.
 
Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika kwenye ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?

Amandla...
Tundu Lissu ameongea dhana ya collective responsibility (Uwajibikaji wa Pamoja). Hata kama alipinga kwenye vikao vya ndani, kwa kuwa maamuzi yalifanyika ya pamoja na yeye alikuwa sehemu ya vikao basi anawajibika kwa maamuzi yale.
 
Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika katika ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?

Sio kweli. Mbona hakusita kumtwisha Mbowe mzigo wa maridhiano ingawa ulikuwa msimamo wa chama na yeye akiwemo?

Amandla...
 
Hiyo dhana mbona haikumzuia kukana kuhusika na maridhiano?

Amandla...
Maridhiano yalivunjika na yeye ndiyo akaanza kuzungumzia msimamo wake ulikuwa upi.

Maridhiano au mazingaombwe? CUF walikubali maridhiano na Katiba ya nchi yao ikafanyiwa marekebisho uchwara lakini Jecha akaja kuwapora uchaguzi mchana kweupe!
 
And what's the point ?

Amefanya misa ya kumuenzi Lowassa ?
 
Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika katika ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?

Amandla...
KUBENEA HAKUWAHI KUWA MKWELI ASILANI. HATA HAZETI LAKE LILIKUWA LINAANDIKA UWONGO HADI LIKAITWA NA JK UANDISHI UCHWARA
 
This Mbowe induced fiasco is nothing but the last kicks of a dying horse.

Mbowe is a sinking titanic, and there's nothing CCM can do to salvage him.

TL juggernaut is rolling and there's nothing CCM can do to stop him, unless they resort to murder and mayhem.​
 
Tundu Lissu ameongea dhana ya collective responsibility (Uwajibikaji wa Pamoja). Hata kama alipinga kwenye vikao vya ndani, kwa kuwa maamuzi yalifanyika ya pamoja na yeye alikuwa sehemu ya vikao basi anawajibika kwa maamuzi yale.
Lisu ni adui wa mkubwa sana wa collective responsibilities gentleman,

hicho kitu hakipendi kabisa kwasababu, ubinafsi na uchoyo ndizo hulka na tabia yake,

but pia anapenda sana collective responsibility kwewnye kuchangiwa yeye hususan pesa.

ila akiambiwa yeye achangie pesa kwaajili ya jambo lenye maslahi kwa wot anakua mkali kama chui
 
Maridhiano yalivunjika na yeye ndiyo akaanza kuzungumzia msimamo wake ulikuwa upi.

Maridhiano au mazingaombwe? CUF walikubali maridhiano na Katiba ya nchi yao ikafanyiwa marekebisho uchwara lakini Jecha akaja kuwapora uchaguzi mchana kweupe!
Si nae angetoa duku duku zake ndani ya chama kama ambavyo mnataka wakina Mrema wafanye? Baada ya Jecha kufanya aliyofanya CUF walisusia uchaguzi. Matokeo yake ndio yanayowafanya ACT Wazalendo wakatae kabisa kusikia habari ya kususia uchaguzi. Na kukataa kushiriki ni kususia.

Amandla...
 
Hakuna namna... Mkubali awashughulikie na kuwashughulisha ama mfanye chochote kati ya mawili aliyosema kuwa yupo tayari kwayo!
gentleman,
hakuna haja ya kubaaika na kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana ambae chadema kwa kiasi kikubwa ni kama wamejitenga na hawana habari nae kabisa. Hivi ni kwanini hali hiyo imejitokeza ghafla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…