Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
TL ni mtu wa haki na ukweli.Unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
Hakuna sehemu aliwahi kuweka wazi jambo hili ili kulinda heshima ya Collective responsibility.
Uungwana sana huu
TL ni mtu wa haki na ukweli.Unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
Umekimbilia matusi kabla hata ya kusoma nilichoandika. Hamna mahali nilipozungumzia uchaguzi wa 2015.Siyo kila mtu bwege km ww, Lissu alishiriki kumpigia kampeni 2015 nchi nzima. Kadanganye nyumbu wenzio
Hao ni wakurupukaji FcUmekimbilia matusi kabla hata ya kusoma nilichoandika. Hamna mahali nilipozungumzia uchaguzi wa 2015.
Amandla...
Kila mtu ana haki ya mtizamo wake. Kwangu mimi kampeni aliyoifanya Lissu dhidi ya Mbowe ndio iliyonifanya nimuone kuwa sio msema kweli na mtu wa fitna. Na yanayoendelea baada ya uchaguzi ndio yanazidi kunifanya niamini hivyo. Lakini huo ni msimamo wangu na sitarajii uamini kama mimi. Naheshimu msimamo wako.TL ni mtu wa haki na ukweli.
Hakuna sehemu aliwahi kuweka wazi jambo hili ili kulinda heshima ya Collective responsibility.
Uungwana sana huu
Wewe na Kubenea nani muongo!!?KUBENEA HAKUWAHI KUWA MKWELI ASILANI. HATA HAZETI LAKE LILIKUWA LINAANDIKA UWONGO HADI LIKAITWA NA JK UANDISHI UCHWARA
Kila mtu ana haki ya mtizamo wake. Kwangu mimi kampeni aliyoifanya Lissu dhidi ya Mbowe ndio iliyonifanya nimuone kuwa sio msema kweli na mtu wa fitna. Na yanayoendelea baada ya uchaguzi ndio yanazidi kunifanya niamini hivyo. Lakini huo ni msimamo wangu na sitarajii uamini kama mimi. Naheshimu msimamo wako.
Amandla...
Haulazimishwi kusoma ninacho andika. Mimi huwa wale ambao naona kuwa hawana jipya au wanatanguliza matusi huwa nawaweka katika ignore list ili wasiniharibie siku yangu. Nakushauri na wewe ufanye hivyo hivyo.Team FAM mnafahamika hapa jukwaani, hakuna jipya juu ya maandishi yenu.
Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika katika ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?
Amandla...
Nimesema kuwa alikiri kuhusika katika ujio wa Lowassa. Kama anachosema Kubenea ni kweli basi sio peke yake ambae hakuwa na habari na ujio huo.Lini amekiri?
Labda kama hujawahi kumsikiliza Lissu mwenyewe akizungumza hilo suala
Lissu anasema alifichwa ujio wa Lowasa CHADEMA, alikuja kujua hilo jambo Dar akiwa ametoka Singida kuja kuhudhuria kikao cha kamati kuu Dar ndo anaambiwa na Dr Slaa kuwa kaka chama kimeuzwa!.
Lakini inafahamika wazi, Mnyika na Lissu hawakumtaka Lowasa.
Sema tu Lissu aliamua kuunga mkono maazimio ya chama baada ya kuonekana wazi wengi ndani ya chama wameamua hivyo!
Nimesema kuwa alikiri kuhusika katika ujio wa Lowassa. Kama anachosema Kubenea ni kweli basi sio peke yake ambae hakuwa na habari na ujio huo.
Lakini hata kama alipinga mwanzoni lakini baadae akakubali basi alihusika. Kukosea sio dhambi. Ni ubinadamu na Lissu ni binadamu kama wengine. Huwa anakosea na huwa anapatia. Kutaka kumfanya kuwa hakosei ni kumpa sifa ambazo sio zake.
Amandla...
Msichotaka kusema ni kuwa uongozi hawakutaka kuwasikiliza ndio maana wakalazimika kutoa waraka. Na mtu yeyote makini akiangalia kile kilichoitwa kikao cha watia nia anajua kuwa kusudi lilikuwa ni kuwanyamazisha na sio wa kuwasikiliza in good faith. Hawajaanzisha movement yeyote kama mnavyotaka kuwasingizia. Kinachoendelea sasa ( matawi na baadhi ya viongozi wa chama kuwakana na kufai wafukuzwe) kinaonyesha hawakukosea kutoa waraka wao.Alikubali kutokukubaliana na maazimio ya chama baada ya wengi wape.
Hakuwa na sababu ya kutoka vikaoni na kuanzisha movement ya Wanachadema wasiomtaka Lowasa kuwa mgombea kupitia chama hicho, kama hawa waasi wa G55 waliopiga kura kuunga mkono No Reforms No Election halafu baadae wanakuja huku mtaani wanasema kuwa tunaunga mkono no reforms ila no election hapana!
Usichanganye kukiri na kukubaliana kwenye vikao vya ndani boss. Nilikuambia alikubali maamuzi ya chama kama collective responsibities na sio kumkubali kama yeye. Pamoja na kutokubaliana na msimamo wa chama, hakuitisha press conference kupinga maamuzi ya chama ama kushauri nje ya vikao kama hao G55. Aliyefanya hivyo ni Slaa, na alijiondoa cdm.Sio hisia. Nilimsikia akikiri kuwa alihusika katika ujio wake. Sasa labda kama alipitiwa na Kubenea akamstua. Lakini hata kama mwanzo alipinga lakini alikubali baada ya lobbing ya Kubenea ina maana alimkubali.
Amandla...
Huo upuuzi wa kuandamana kuungo mkono mawazo ya mwenyekiti upo ccm, usidhani kila mtu anaiga huo uhuni.Msichotaka kusema ni kuwa uongozi hawakutaka kuwasikiliza ndio maana wakalazimika kutoa waraka. Na mtu yeyote makini akiangalia kile kilichoitwa kikao cha watia nia anajua kuwa kusudi lilikuwa ni kuwanyamazisha na sio wa kuwasikiliza in good faith. Hawajaanzisha movement yeyote kama mnavyotaka kuwasingizia. Kinachoendelea sasa ( matawi na baadhi ya viongozi wa chama kuwakana na kufai wafukuzwe) kinaonyesha hawakukosea kutoa waraka wao.
Mngekuwa mmeshika dola bila shaka yangeandaliwa maandamano nchi nzima kuunga mkono fikra sahihi za Mwenyekiti na kuwazodoa G55. Haipaswi kuwa hivyo.
Amandla...
Tunazunguka pale pale. Alikiri kuwa alihusika na ujio wa Lowassa. Kusema kuwa alifanya hivyo kwa sababu tu ya collective responsibility ni ku cherry pick mada. Baada ya kukubali ndani ya kikao hawezi kusema kuwa alikuwa hakubaliani inapokuwa convenient kwake. Ni hivyo hivyo suala la Maridhiano. Alitaka kutuaminisha kuwa Mbowe aliwaburuza mpaka alipokumbushwa kuwa Heche alikuwa sehemu ya timu ya majadiliano.Usichanganye kukiri na kukubaliana kwenye vikao vya ndani boss. Nilikuambia alikubali maamuzi ya chama kama collective responsibities na sio kumkubali kama yeye. Pamoja na kutokubaliana na msimamo wa chama, hakuitisha press conference kupinga maamuzi ya chama ama kushauri nje ya vikao kama hao G55. Aliyefanya hivyo ni Slaa, na alijiondoa cdm.
Bado wanamaumivu sana.Team FAM mnafahamika hapa jukwaani, hakuna jipya juu ya maandishi yenu.
CDM inaelekea huko. Angalia matamko kutoka katika matawi ya kuwasema wakina Mrema. Sitashangaa kuona mabango ya kuwatukana katika mikutano yenu ya hadhara. Sasa hivi mna T-Shirt zenye sura ya Lissu. Mnashindwa tu kuandamana kwa sababu dola haitawaruhusu. Kwa vile najua unajitahidi kuwa makini katika suala hili chunguza yanayoendelea na utatambua ukweli wa ninayoyasema. Uongozi wa Chadema ulitakiwa kuwakanya vijana wao ambao wanatumia majukwa yao kumtukana mtu kama Mbowe. Hamuwezi kutibu majeraha kwa mtindo huo.Huo upuuzi wa kuandamana kuungo mkono mawazo ya mwenyekiti upo ccm, usidhani kila mtu anaiga huo uhuni.
Tunazunguka pale pale. Alikiri kuwa alihusika na ujio wa Lowassa. Kusema kuwa alifanya hivyo kwa sababu tu ya collective responsibility ni ku cherry pick mada. Baada ya kukubali ndani ya kikao hawezi kusema kuwa alikuwa hakubaliani inapokuwa convenient kwake. Ni hivyo hivyo suala la Maridhiano. Alitaka kutuaminisha kuwa Mbowe aliwaburuza mpaka alipokumbushwa kuwa Heche alikuwa sehemu ya timu ya majadiliano.
Hilo la G55 linakuwa tiresome. Usipompa mtu nafasi ya kuongea ndani ya chama ataongea nje ya chama. Watu makini wasingewasimanga bali wangetafuta namna ya kukaa nao na kuwasikiliza in good faith. Badala ya kufanya hivyo mnawatungia majina na matusi Hivi kweli Catherine Ruge, Kiwanga n.k. ni watu wakutukanwa na vijana wa Chadema bila kiongozi kuwatetea? Mnataka CDM iwe cult ya kuabudu viongozi kama ilivyo katika vyama vingine? Mnawajengea chuki watu waliokipigania chama chenu kwa gharama kubwa kwa sababu tu wamediriki kusema wazi kuwa wanadhani njia mnayoitumia siyo sahihi!
Amandla...
Lisu ni adui wa mkubwa sana wa collective responsibilities gentleman,
hicho kitu hakipendi kabisa kwasababu, ubinafsi na uchoyo ndizo hulka na tabia yake,
but pia anapenda sana collective responsibility kwewnye kuchangiwa yeye hususan pesa.
ila akiambiwa yeye achangie pesa kwaajili ya jambo lenye maslahi kwa wot anakua mkali kama chui![]()
Hatuko mahakamani. Unaweza kuitafuta mwenyewe. Usipoiona utakuwa na haki ya kuniita muongo. Hata bila kutafuta una haki ya kuniita muongo. Ila huo muda wa kukutafutia sina.Hebu lete hiyo video clip au audio au text akikiri kuhusika na ujio wa Lowasa.
Hatuko mahakamani. Unaweza kuitafuta mwenyewe. Usipoiona utakuwa na haki ya kuniita muongo. Hata bila kutafuta una haki ya kuniita muongo. Ila huo muda wa kukutafutia sina.
Amandla....