Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hata yeye wakati majadiliano yanaendelea ulikuwa unaona anasema Chochote?Si nae angetoa duku duku zake ndani ya chama kama ambavyo mnataka wakina Mrema wafanye?
Ndiyo umeandika nini hiki hakina muungano unaoeleweka!gentleman,
hakuna haja ya kubaaika na kibaka na tapeli wa siasa kama huyo muungwana ambae chadema kwa kiasi kikubwa ni kama wamejitenga na hawana habari nae kabisa. Hivi ni kwanini hali hiyo imejitokeza ghafla?
Hapana. Aliongea sana tu. Tena kwa kujitoa na kusema hakuhusika na uamuzi wa kuingia katika maridhiano. Ni hypocrite.Hata yeye wakati majadiliano yanaendelea ulikuwa unaona anasema Chochote?
Lissu alikosoa maridhiano baada ya kushindikana!
Alimtwishaje?Sio kweli. Mbona hakusita kumtwisha Mbowe mzigo wa maridhiano ingawa ulikuwa msimamo wa chama na yeye akiwemo?
Amandla...
Maridhiano ni utapeli. Kwani hayo maridhiano yalianza mwaka gani na Lissu alianza kuyakosoa lini?Hapana. Aliongea sana tu. Tena kwa kujitoa na kusema hakuhusika na uamuzi wa kuingia katika maridhiano. Ni hypocrite.
Amandla...
Ukiyaita utapeli unaondoa maana ya mjadala. Sikumbuki hizo tarehe.Maridhiano ni utapeli. Kwani hayo maridhiano yalianza mwaka gani na Lissu alianza kuyakosoa lini?
Ni utapeli wa CCM. CCM hujifanya wanataka maridhiano baada kuumiza watu, lakini uchaguzi mwingine ukija wanafanya yale yale!Ukiyaita utapeli unaondoa maana ya mjadala. Sikumbuki hizo tarehe.
Amandla...
Ni kumbukizi tu... Shante! Shante! Shante!So what??
We mtu upo?And what's the point ?
Amefanya misa ya kumuenzi Lowassa ?
Ungeandika kiswahili Mkuu ungetusaidia wengi.NO REFORM NO ELECTION
Ndicho Lissu alichotumwa na chama kwa sasa.
Complete rejection and repudiation of Tanzania's cockamamie and sham elections.
Mbowe is old chesnut.
Lowassa is dead and gone.
Tundu Lissu is jailed in a police gulag. Yet he is faithfully and indefatigably leading the charge to upend the CCM criminal cartel machinery.
ukipata utulivu wa fikra utaelewa,Ndiyo umeandika nini hiki hakina muungano unaoeleweka!
Nilikwambia hata juzi, Lisu hakumkubali Lowassa ndani ya vikao, ila aliheshimu maamuzi ya wengi. Naona unang'ang' ania hisia zako ili kubeba unachotetea.Tundu Lissu mwenyewe amekiri kuwa alihusika katika ujio wa Lowassa. Kwa hiyo alikuwa anadanganya?
Amandla...
Huyo bwege anatuonaje? Amesahau kuwa Lissu alimpigia kampeni 2015? Hawa nyumbu wanatuonaje? Acheni ungese tuna kumbukumbuMbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
We bwege kila mtu siyo nyumbu zero brain km wwUnajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
Sio hisia. Nilimsikia akikiri kuwa alihusika katika ujio wake. Sasa labda kama alipitiwa na Kubenea akamstua. Lakini hata kama mwanzo alipinga lakini alikubali baada ya lobbing ya Kubenea ina maana alimkubali.Nilikwambia hata juzi, Lisu hakumkubali Lowassa ndani ya vikao, ila aliheshimu maamuzi ya wengi. Naona unang'ang' ania hisia zako ili kubeba unachotetea.
Siyo kila mtu bwege km ww, Lissu alishiriki kumpigia kampeni 2015 nchi nzima. Kadanganye nyumbu wenzioSio hisia. Nilimsikia akikiri kuwa alihusika katika ujio wake. Sasa labda kama alipitiwa na Kubenea akamstua. Lakini hata kama mwanzo alipinga lakini alikubali baada ya lobbing ya Kubenea ina maana alimkubali.
Amandla...
Umejikurupusha kisa nini hasa!We bwege kila mtu siyo nyumbu zero brain km ww
Kila kitu kitawekwa wazi......Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.