Kubenea: Ukiona kuna MwanaCHADEMA anakimbilia kwa Msajili kushtaki Ujue nyuma yake kuna mtu anayetumika na Mfumo. Kuna Mtu hakubaligi kushindwa!

Ww husemi bali una nogwa. Huyo Sativa, Slaa nk sio issue za cdm. Kama Mbowe aliijenga cdm kwa fedha zake miaka zaidi ya 30, muulize aliweka shilingi, na amechuma kiasi gani, tuone bado kiasi gani alipwe au arudishe change.
 
Mbowe hana Fedha ya kujenga Chadema afadhali MKE wa Bob Nyanga Makani aliwaachieni kile kibanda Ufipa st πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Amesma hayo akiwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…