Nyani haoni kundule MkuuHapa chadema wapo kimya, mwenyekiti hakosei yani wamekuwa nyumbu huku katiba ikisiginwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani haoni kundule MkuuHapa chadema wapo kimya, mwenyekiti hakosei yani wamekuwa nyumbu huku katiba ikisiginwa
Ww husemi bali una nogwa. Huyo Sativa, Slaa nk sio issue za cdm. Kama Mbowe aliijenga cdm kwa fedha zake miaka zaidi ya 30, muulize aliweka shilingi, na amechuma kiasi gani, tuone bado kiasi gani alipwe au arudishe change.Tulia, nyie pigeni harakati mwanangu..
Unakumbuka kauli kwamba CDM ni mali ya Umma? Hapa ndipo mlipoachia, tunazungumzia mali ya umma.
Issue ya Pesa , CDM haina hela ya kufurahia kama mnavyoaminishwa na mapanki..
Sadaivi amepanic maji ya shingo kaona atulie afanyie siasa chumbani..
Mawakili wa Dr Slaa hawajalipwa wamesambaratika....
Bado hilo huoni, mnamlaumu mtu aliejenga CDM kwa miaka 30 zaid sana kwa fedha zake...
Kuweni na fadhila...., at least basi msimsimange.
La zaidi sana hamuwezi kutuzuia kusema.
Mbowe hana Fedha ya kujenga Chadema afadhali MKE wa Bob Nyanga Makani aliwaachieni kile kibanda Ufipa st 😂😂Tulia, nyie pigeni harakati mwanangu..
Unakumbuka kauli kwamba CDM ni mali ya Umma? Hapa ndipo mlipoachia, tunazungumzia mali ya umma.
Issue ya Pesa , CDM haina hela ya kufurahia kama mnavyoaminishwa na mapanki..
Sadaivi amepanic maji ya shingo kaona atulie afanyie siasa chumbani..
Mawakili wa Dr Slaa hawajalipwa wamesambaratika....
Bado hilo huoni, mnamlaumu mtu aliejenga CDM kwa miaka 30 zaid sana kwa fedha zake...
Kuweni na fadhila...., at least basi msimsimange.
La zaidi sana hamuwezi kutuzuia kusema.
Tunasubir Michango kutoka ughaibuni.....Mbowe hana Fedha ya kujenga Chadema afadhali MKE wa Bob Nyanga Makani aliwaachieni kile kibanda Ufipa st 😂😂
Amesma hayo akiwa wapiAliyekuwa Mbunge wa Ubungo Mh Saeed Kubenea amemwambia Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika kuwa Ukiona Mwanachadema anakimbilia kwa Msajili wa vyama vya siasa kushtaki ujue kuna Mtu wa Mfumo nyuma yake, kuna Watu hawakubaligi kushindwa
Ni huko Ukurasani X
Mlale Unono 😀
Tundu Lisu atafadhiliwa na CCM hiyo hiyo 😀Tunasubir Michango kutoka ughaibuni.....
XAmesma hayo akiwa wapi