PreGE2025 Kubenea: Zaidi ya asilimia 50 waliosaini waraka wa G-55 wanatoka Kaskazini. Ningekuwa CHADEMA ningewafukuza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.

Pia soma > Kubenea: Mbowe hakutarajia kushindwa na Lissu, nilimshauri asigombee

Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.

Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa

Kwani wao sio watanzania?
Mwacheni Mbowe apumzike

Keshawaachia uongozi jibuni hoja
acha ukenge wewe, waliishakifanya ni chama cha kikabila na kikanda, sasa ni chama cha kitaifa kina mrema na mchome wanapapatika
 
Chadema ina ukabila toka lini? Kubenea mbona aligombea ubungo Dar es salaam akiwa Chadema wakati yeye sio kabila la Dar es salaam

Jibuni hoja
 
Huu sasa ni upuuzi. Unaingizwa ukabila badala ya kujibu hoja! Mbona hakuaika Mbowe amfukuze Lissu wakati anapinga wazi maridhiano? Msigwa alipinga wazi wazi msimamo wa CDM kuhusu Ngorongoro na hakufukuzwa! Anauliza kwa nini hawakuleta mawazo yao ndani ya vikao vya chama wakati pamekuwa na manung'uniko ya muda mrefu kuwa wale waliopinga walioshinda uchaguzi wametengwa ndani ya chama. Upuuzi mtupu.

Amandla...
 
Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa
Huu ni uchochezi mbaya na usio na manufaa kwa nchi.
Tuache hili mara moja kuanza kuwatenga watu kwa upuuzi wa maneno haya ya kijinga!
 
Ni sahihi kama Chadema ya ukanda na ukabila Lisu aliwezaje kupata umakamu mwenyekiti Chadema taifa?
sasa utaundaje chama cha kikabila na kikanda pekee bila kuchanganya kimtindo watu wa kanda zingine kidogo?
 
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.

Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa

wehu
 
Huu ni uchochezi mbaya na usio na manufaa kwa nchi.
Tuache hili mara moja kuanza kuwatenga watu kwa upuuzi wa maneno haya ya kijinga!
we huoni kina mrema na mchome wamechachamaa na kuhamaki chama kuangukia kwa mwingine asiye wa kanda yao?
 
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.

Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa

G55 ni zao la M23 huko kuna mchanganyiko wa vibaraka wa CCM wakiongozwa na Mrema
 
Back
Top Bottom