macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Kwanini useme wachaga na wapare wakati hao wenye njaa ni wapigaji waliokuwa wanakula na Mbowe? Hiyo ruzuku alikuwa anawapelekea wapare na wachaga?Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.
Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa