Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
acha ukenge wewe, waliishakifanya ni chama cha kikabila na kikanda, sasa ni chama cha kitaifa kina mrema na mchome wanapapatikaKwani wao sio watanzania?
Mwacheni Mbowe apumzike
Keshawaachia uongozi jibuni hoja
Chadema ina ukabila toka lini? Kubenea mbona aligombea ubungo Dar es salaam akiwa Chadema wakati yeye sio kabila la Dar es salaamacha ukenge wewe, waliishakifanya ni chama cha kikabila na kikanda, sasa ni chama cha kitaifa kina mrema na mchome wanapapatika
Ni sahihi kama Chadema ya ukanda na ukabila Lisu aliwezaje kupata umakamu mwenyekiti Chadema taifa?Lissu ni mnyaturu lakini chadema haitakuwa ya kinyaturu wa kikanda. Hakuna sura ya unyaturu na ukanda ya kati bali ni utaifa zaidi
sasa unabisha mbuzi wee?Chadema ina ukabila toka lini? Kubenea mbona aligombea ubungo Dar es salaam akiwa Chadema wakati yeye sio kabila la Dar es salaam
Jibuni hoja
Huu ni uchochezi mbaya na usio na manufaa kwa nchi.Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa
sasa utaundaje chama cha kikabila na kikanda pekee bila kuchanganya kimtindo watu wa kanda zingine kidogo?Ni sahihi kama Chadema ya ukanda na ukabila Lisu aliwezaje kupata umakamu mwenyekiti Chadema taifa?
Mbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.
Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa
we huoni kina mrema na mchome wamechachamaa na kuhamaki chama kuangukia kwa mwingine asiye wa kanda yao?Huu ni uchochezi mbaya na usio na manufaa kwa nchi.
Tuache hili mara moja kuanza kuwatenga watu kwa upuuzi wa maneno haya ya kijinga!
mleta mada ni mwehuHuu ni uchochezi mbaya na usio na manufaa kwa nchi.
Tuache hili mara moja kuanza kuwatenga watu kwa upuuzi wa maneno haya ya kijinga!
mleta mada mwehuuuNi sahihi kama Chadema ya ukanda na ukabila Lisu aliwezaje kupata umakamu mwenyekiti Chadema taifa?
G55 ni zao la M23 huko kuna mchanganyiko wa vibaraka wa CCM wakiongozwa na MremaMbunge wa zamani wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea ameyasema hayo akihojiwa na Wasafi FM. Amesema Si kwamba wanatoka Kaskazini sijui Tanga, ila ni Arusha na Kilimanjaro. Ameongeza kuwa G55 ni watu wa Mbowe na bado hawajakubali kama wameshindwa ndio maana wanafanya uhuni.
Maoni Yangu
Inaonesha wachaga na wapare hawajaamini kuwa chama sasa kinamilikiwa na Watanzania wote bila kujali Kanda wanazotoka ndio maana wanapapalika papa