PreGE2025 Kubenea: Zaidi ya asilimia 50 waliosaini waraka wa G-55 wanatoka Kaskazini. Ningekuwa CHADEMA ningewafukuza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)



Wapo chini hapo wao na mboga mboga (Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, na wa aina hiyo) lao moja ..
 
Chadema ina ukabila toka lini? Kubenea mbona aligombea ubungo Dar es salaam akiwa Chadema wakati yeye sio kabila la Dar es salaam

Jibuni hoja
Huyu jamaa mnafki sana ndio maana wakati ule walitaka wampofushe.Kubenea haaminiki popote,wakati wa Magu walimkamata akikimbilia Kenya akalia kama mtoto,jamaa hovyo sana
 
Lissu nna timu yake wawe makini sana, wakizipoteza Kilimanjaro na Arusha wameumia. Hizo ndio ngome kuu za CHama .
 
Mb
Kwani wao sio watanzania?
Mwacheni Mbowe apumzike

Keshawaachia uongozi jibuni hoja
Mbona nyinyi mnashindwa ni kuzijibu hoja na badala yake mnatumia hawa policcm mpite bila kupingwa.
 
Kazi kweli kweli....

Hao ndio kina Lusungo wasiokubali Mbowe alishindwa uchaguzi.
 
Kazi kweli kweli....

Hao ndio kina Lusungo wasiokubali Mbowe alishindwa uchaguzi.
Uzuri sijawahi kuwa kwenye active politics za CDM ingawa tumeisaidia sana CDM kufika ilipo. Tumempa sana Slaa,kubenea (enzi za mwanahalisi) Mbowe Nondo za kumbomoa JK na CCM kuelekea 2015!

Sijawahi kuwa na maslahi ya moja kwa moja ndani ya CDM lakini nilikipenda nikiamini ni chama mbadala sahihi. Kwa mwenendo wa Lissu na Lema kwa zile resistance za wazi wazi dhidi ya Mbowe kwa kuzingatia mchango wa Mbowe Nchi hii Leo wakamgeuza takataka pale niliwadharau na bado nawadharau sana Lema na Lissu kwa utoto walioonesha.
 
Zile zilikuwa siasa za uchaguzi na zilishapita, hata mwenyekiti aliyeondoka alikubali kushindwa.

Fundi Mchundo
 
Zile zilikuwa siasa za uchaguzi na zilishapita, hata mwenyekiti aliyeondoka alikubali kushindwa.

Fundi Mchundo
Ile damage ni kubwa sana na mpaka sasa ukisoma comments za wapambe wa Lissu wanamwita Mbowe dalali na kashfa nyingine nyingi. Tumemwambia Mbowe akae pembeni awaachie wajuaji.
 
Kubenea ni mchumia tumbo kama Dr Slaa
Kubenea ni mchumia tumbo kama Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…