PreGE2025 Kubenea: Zaidi ya asilimia 50 waliosaini waraka wa G-55 wanatoka Kaskazini. Ningekuwa CHADEMA ningewafukuza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini useme wachaga na wapare wakati hao wenye njaa ni wapigaji waliokuwa wanakula na Mbowe? Hiyo ruzuku alikuwa anawapelekea wapare na wachaga?
 
Huyu jamaa mnafki sana ndio maana wakati ule walitaka wampofushe.Kubenea haaminiki popote,wakati wa Magu walimkamata akikimbilia Kenya akalia kama mtoto,jamaa hovyo sana
Ni kweli huyu jamaa hovyo sana kama Mamako. Mimi mwenyewe simkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…