Aidan Avidan
Member
- Jul 6, 2023
- 12
- 82
Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae
Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa kubashiri wa sokabet
Singida amepewa odd 1.50 Na ukiangalia probalilty ya kushinda ni 90% so ukiamua kuweka 1M unapata laki tano ndani ya DAKIKA 90 tu...Inamaana unaondoka na 1.5M
Kwa mtazamo wangu pia kutokana na game hii ukitaka probability ya 100% we mpe Singida apate walau goli mbili ambayo odd ni 1.3, Hapo ukiweka laki moja inamaana unaondoka na elfu 30 kama faida ndani ya dakika 90 tuu, Acha kuweka team nyingi, weka chache tia mzigo wa kutosha hapo alafu tulia sikilizia tuu shangwe
Watu tunaishi tunafamilia tunasomesha na kujenga kwa betting tu, Chagua kampuni sahihi yenye masoko mengi ya uhakika, Kwa sasa niseme tuu sokabet niwape maua yao, mnasaidia sana familia yangu ile vizuri maana sio kwa mikeka hii inavo toa
Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko