Kubeti ni kama kudanga tu!

Kubeti ni kama kudanga tu!

Betting ni mchezo wa kubashiri (chukulia km sehem ya enjoyment tu)
Ukitaka kupoteza matumaini katika maisha yako fanya betting ni sehem ya kukupatia kipato (utakuwa mwizi,teja,chizi)
Ok sawa. Nashukuru kwa ushaurii
 
kwahiyo mkuu miaka yote mitatu ulikua unadanga! orait orait.
 
Screenshot_20200731-215124.png
 
Watu hawajui tu Ila kubet kwa michezo Kama tennis na basketball ufi na njaa
Basketball nimeshindwa, tennis pia ni ngumu sn ila nimejaribu table tennis ni km inamwelekeo lkn bado napigwa zaidi kuliko kupiga..... 😂😂
 
Nasikia kampuni za betting Zilishafungwa naigeria..wale jamaa nasikia ni nyoko mpaka uchawi unatumika kwenye kumtusua muhindi!! Wakaona isiwe kazi wakafunga betting wahindi!!
Tukachukue maujuzi kule kila siku utakua unaondoka na mamilion
 
Ukiwa na mtaji mkubwa naamin tennis na basketball unatusua,huku anayejua anajua tu,Mara chache sana kukuta Mambo yanaharibika,na kingine betting ni mathematics,kwa mfano unakuta kwenye rankings labda yupo higher rankings za tennis na unakuta kwenye h2h hajawah kufungwa na mpinzan halaf kwenye odds unakuta zinakaribia hapo moja kwa moja unapata picha mechi imeuzwa hiyo
 
Duuu........ Wanaijeria hawashindwagi jamaa😀😀
 
Ukiwa na mtaji mkubwa naamin tennis na basketball unatusua,huku anayejua anajua tu,Mara chache sana kukuta Mambo yanaharibika,na kingine betting ni mathematics,kwa mfano unakuta kwenye rankings labda yupo higher rankings za tennis na unakuta kwenye h2h hajawah kufungwa na mpinzan halaf kwenye odds unakuta zinakaribia hapo moja kwa moja unapata picha mechi imeuzwa hiyo
Duuu....... Nimekupata sn kamanda👍👍💯
 
Back
Top Bottom