Kubeti ni kama kudanga tu!

Kubeti ni kama kudanga tu!

Binafsi nimeshawahi sana kubeti, na nina ujua vyema huo mchezo, ushauri wangu ni kama wadau wengi wanaochangi hii mada
Tafuta mtaji hata kama ni elfu 10, weka odds zisizidi 3, hata ukila elfu tano au elfu 10 kila siku sio haba
Na usibeti ili uendeshe maisha ndio tamaa ya kupata laki 2 kwa buku inapokuja utaumia kila siku.
Na mwisho kabisa, betting ni biashara kama zilivyo zingne,ukiona hiyo biashara imekukutaa tafuta njia zingne, kimombo kidg diversify your source of income, dont depend in one source
Ooohhh........... Maneno kuntu sn haya mkuu wangu
 
Mwisho wa mwezi wa tisa, nikijaliwa uzima , mimi binafsi nitakuwa nimeufikia uchumi wa katikati. Ila sasa nimeshapita uchumi wa katikati wa chini.
OOHH.... Hongera sn. Umeshapita uchumi wa kati wa chini unatafuta UPPER SECOND??
 
Kama unaweka jero buku upate laki. Na unaweka tumaini kabisa utapiga. Lazima iwe mbaya.
Bet kistaarabu. Dau kubwa odd ndogo 2-3.

Kama unaweka jero buku kwa odd 200/300+ weka for fun tu. Hutokuja na uzi kama huu tena.
Hahahaaa...... Sawa mkuu👌👌
 
Screenshot_20200731-215328.png
sikukuu yangu imeenda fresh kbsa
 
Sijaona maendeleo yoyote tangu nianze kubeti miaka 3 iliyopita.

Wenzangu na mimi hali ikoje? Naweza kupata maujuzi zaidi ama niachane na kudanga huku?
Tena madanga yangu km ya wanawake wa Buza, leo nimepata buku siku mbili sipati kitu. Nikipata elfu kumi inapita wiki mbili cjapata chochote!!!!

Wahujumu uchumi wangu ni:
-Meridian bet
-Mkeka bet
-Premier Bet

MUHIMU: Kuanzisha kampuni ya kubeti inahitaji mtaji kiasi gani?
MWISHO: Nawataki Betting Njema, kizuri kula na mwenzako. Eid Mubarak!
Lol nimecheka kama yote. Wale wa Betpowa tunakoment wapi?!
 
Back
Top Bottom