Kubeti ni kama kudanga tu!

Diversify your economy by stop depending on one source of income.
 
Nasikia kampuni za betting Zilishafungwa naigeria..wale jamaa nasikia ni nyoko mpaka uchawi unatumika kwenye kumtusua muhindi!! Wakaona isiwe kazi wakafunga betting wahindi!!
Tukachukue maujuzi kule kila siku utakua unaondoka na mamilion
December mwakajana nilikua huko makampuni yapo mengi tu tena nigeria wanabet Sana. Kinachofanywa makampuni hasa yenye wanahisa wakubwa wakihindi wasiwapende wanigeria ni kwanza wako wengi mnoo zaidi ya million300 so wakibet letsay watu MIL20 ww ukawapiga MIL10 then unapigwa na kumi iliyobaki so profit margins inakua narrowed,pili nigeria wasomi ni wengi kupindukia ajira chache so vijana wengi mpaka vjjn wamewekeza muda mwingi kwenye huu mchezo, mfano mtu kajiwekea anabet kwa wiki mara moja tu au kwa wiki mbili betslip moja tu so anakua na muda mrefu kutafuta markets nzuri, kufanya analysis nzuri kwa muda WA wk mbili zote na kote mkeka hautazidi odds 2-4,
Mwisho nigerians are risk taker, hata dunia inatambua hilo, odd mbili tu zimefanyiwa analysis for two weeks alafu mjinga anaistake 2mill za kitanzania alafu anaendelea na mishe zingine kama hajui kinachoendelea na wala hana mapresha ya kufuatilia game wala mkeka kama unapumua au la. So wahindi wanaotaka profit tu na wapate wao tu kule wamebaki wachache,coz unapigwa parefu na watu wengi,
Nigeria waendesha okada tu wanakula bata za siku za jumapili jioni wameshapaki wanakula weekend,
Kitu cha mwisho wengi hawachezi market ya 3way win draw win, wanacheza corner card sub post crossbar over0.5ht na zngene
 
Ndugu hiyo pesa unayobet kama ungekuwa unaipeleka kanisani au msikitini saivi nafikiri ungekuwa na thawabu mpaka ungeshangaa mwenyewe.
 
Duuu.... Ahsante mkuu. Ningependa kujua hii👇👇
wanacheza corner card sub post crossbar over0.5ht na zngene

Maana mm cbet zaidi ya kupredict a winner😀😀
 
Ndugu hiyo pesa unayobet kama ungekuwa unaipeleka kanisani au msikitini saivi nafikiri ungekuwa na thawabu mpaka ungeshangaa mwenyewe.
Umeona mkuu....... Ila nilidhani ningeweza kupata mpunga mrefu zeni ndo nielekeze huko kwa Mola fungu husika.......
Mambo yamekua tofauti sn
 
cheza jackpot
 
Hii kitu cjawahi kuonja..........
Inahitaji muda,kwasababu odds zinapanda na kushuka,mi inanisaidia sana,nikiwa na mtaji wa 10k,inanitosha kucheza na nakula.
 
Hii kitu cjawahi kuonja..........
Nimewahi kucheza live matches,nilikua na mtaji wa rlfu 7,na nilikua na muda wa kutosha,nilikuja kushangaa nina laki 3 na kidogo asubuhi,wakati nilianza kucheza saa kumi na mbili kasoro jioni.
 
Ndugu hiyo pesa unayobet kama ungekuwa unaipeleka kanisani au msikitini saivi nafikiri ungekuwa na thawabu mpaka ungeshangaa mwenyewe.
Yaani bora hiyo pesa uwape yatima na wajane kanisani wanaobarikiwa ni wachungaji manabii na mitume jiulize kwa nn wao waendeshe hummer, range, disco3&4 wengine wana private jets, then ww unaetoa unasaga na rumba ukijifariji kwamba ipo siku yangu tu ipo sikuuuu nibanibaninibarikiwe NEVER!!!!!!!!!!!!! Hawa nao ni wapigaji kama wapigaji wengine, Mungu anasema tuwasaidie wajane ,yatima, vilema,wagojwa, wazee na maskini tu, sasa hao manabii wanafall ktk category hp kati ya hzo nilizotaja?
 
Nasikia kampuni za betting Zilishafungwa naigeria..wale jamaa nasikia ni nyoko mpaka uchawi unatumika kwenye kumtusua muhindi!! Wakaona isiwe kazi wakafunga betting wahindi!!
Tukachukue maujuzi kule kila siku utakua unaondoka na mamilion
be9ja ipo wapi?
 
Acha habari za vijiweni wewe,moja ya kampuni inayofanya kazi Nigeria ni betpawa,sasa wewe hizi story huwa unazipataje,una smartphone lakini hujui kuutafuta ukweli baada ya kupata habari za uzushi

Ingia google andika betting companies in Nigeria utapata msururu wa makampuni
 
Duuu.... Ahsante mkuu. Ningependa kujua hii👇👇
wanacheza corner card sub post crossbar over0.5ht na zngene

Maana mm cbet zaidi ya kupredict a winner😀😀
Corner na cards kwa game zenye pressure au timu kubwa ambazo lazima kutakua na kushambuliana sana na rafu nyingi,so unaweka corners over8.5 full time yaani mfano man vs city wote kona ukjumlisha zianzie tisa kuendelea odd1.3, cards over2.5 full time yaani kadi iwe njano nyekundu bt zianzie tatu odds1.2-1.3, sub at half time No odds1.5, no red card and no sending off YES odds1.5, penalty awarded no1.2,red card 1.2, varchecks no odds 1.4 or1.5, will the ball hit post s and cross bars no1.5 ukicheza hizo markets ww utakua unashangilia corners card na sio magoli wala ushindi.
Zingine 1minute from the start keeper not touching the ball odd1.4, 3minutes both keepers not touching the ball, zpo market mingi lakini pia tumia kampuni zinazotoa markets nzuri, bet pawa ni wazuri kwa live bet kwa kuwa wanaweka timu nyingi siri ya live unacheza na live score kwanza ndo unaplace bet unaweza kuta timu iko dk ya 85 live score isharudisha goli lakini wao bado hawajafanya updates na inaonesha dk ya 78 na odds kubwaa kwamba bado kafungwa live pia chukua timu mbili from first five minutes zpe gg na mbl zpe over1.5 full time hukosi odds2.5 tia mzgo then ondoka.
 
be9ja ipo wapi?
Makampuni yapo mengi sana ni uzushi tu wa watz sema yale makampuni mengi ni yakwao wenyewe bet pawa ipo sema wanacheza live tu na jackpot na ndo chanzo cha betpawa kubania markets na kushusha odds, walipoanza walikua na odds kubwa kubwa na markets zinazotoa,kuna bet9ja,nairabet, loving bet, winnersgolden bet, bet colony Africa, park bet, sporty bet,sportsbet, kickoff bet,betrepulicana,merrybet,360bet,bet365;1960bet,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…