Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OOOHH......Hongera mkuu lkn consistence ikoje kwenye kushinda?Nimewahi kucheza live matches,nilikua na mtaji wa rlfu 7,na nilikua na muda wa kutosha,nilikuja kushangaa nina laki 3 na kidogo asubuhi,wakati nilianza kucheza saa kumi na mbili kasoro jioni.
Yaani bora hiyo pesa uwape yatima na wajane kanisani wanaobarikiwa ni wachungaji manabii na mitume jiulize kwa nn wao waendeshe hummer, range, disco3&4 wengine wana private jets, then ww unaetoa unasaga na rumba ukijifariji kwamba ipo siku yangu tu ipo sikuuuu nibanibaninibarikiwe NEVER!!!!!!!!!!!!! Hawa nao ni wapigaji kama wapigaji wengine, Mungu anasema tuwasaidie wajane ,yatima, vilema,wagojwa, wazee na maskini tu, sasa hao manabii wanafall ktk category hp kati ya hzo nilizotaja?
Ohooo......Nigerians nasikia wanabet sn jamaa ila kwa calculations za hali ya juu japo bado mhindi anawapiga km kawaida ndio maana hawafungi kampuni zaoAcha habari za vijiweni wewe,moja ya kampuni inayofanya kazi Nigeria ni betpawa,sasa wewe hizi story huwa unazipataje,una smartphone lakini hujui kuutafuta ukweli baada ya kupata habari za uzushi
Ingia google andika betting companies in Nigeria utapata msururu wa makampuni
Mkuu nimekupata sana na nimepata nyongeza ya maarifa hapa......Ahsante sanaCorner na cards kwa game zenye pressure au timu kubwa ambazo lazima kutakua na kushambuliana sana na rafu nyingi,so unaweka corners over8.5 full time yaani mfano man vs city wote kona ukjumlisha zianzie tisa kuendelea odd1.3, cards over2.5 full time yaani kadi iwe njano nyekundu bt zianzie tatu odds1.2-1.3, sub at half time No odds1.5, no red card and no sending off YES odds1.5, penalty awarded no1.2,red card 1.2, varchecks no odds 1.4 or1.5, will the ball hit post s and cross bars no1.5 ukicheza hizo markets ww utakua unashangilia corners card na sio magoli wala ushindi.
Zingine 1minute from the start keeper not touching the ball odd1.4, 3minutes both keepers not touching the ball, zpo market mingi lakini pia tumia kampuni zinazotoa markets nzuri, bet pawa ni wazuri kwa live bet kwa kuwa wanaweka timu nyingi siri ya live unacheza na live score kwanza ndo unaplace bet unaweza kuta timu iko dk ya 85 live score isharudisha goli lakini wao bado hawajafanya updates na inaonesha dk ya 78 na odds kubwaa kwamba bado kafungwa live pia chukua timu mbili from first five minutes zpe gg na mbl zpe over1.5 full time hukosi odds2.5 tia mzgo then ondoka.
AseeCorner na cards kwa game zenye pressure au timu kubwa ambazo lazima kutakua na kushambuliana sana na rafu nyingi,so unaweka corners over8.5 full time yaani mfano man vs city wote kona ukjumlisha zianzie tisa kuendelea odd1.3, cards over2.5 full time yaani kadi iwe njano nyekundu bt zianzie tatu odds1.2-1.3, sub at half time No odds1.5, no red card and no sending off YES odds1.5, penalty awarded no1.2,red card 1.2, varchecks no odds 1.4 or1.5, will the ball hit post s and cross bars no1.5 ukicheza hizo markets ww utakua unashangilia corners card na sio magoli wala ushindi.
Zingine 1minute from the start keeper not touching the ball odd1.4, 3minutes both keepers not touching the ball, zpo market mingi lakini pia tumia kampuni zinazotoa markets nzuri, bet pawa ni wazuri kwa live bet kwa kuwa wanaweka timu nyingi siri ya live unacheza na live score kwanza ndo unaplace bet unaweza kuta timu iko dk ya 85 live score isharudisha goli lakini wao bado hawajafanya updates na inaonesha dk ya 78 na odds kubwaa kwamba bado kafungwa live pia chukua timu mbili from first five minutes zpe gg na mbl zpe over1.5 full time hukosi odds2.5 tia mzgo then ondoka.
Unazungumza kama tuna ugomvi!!Kampuni za betting zipo nyingi sana, kama una mtaji unaanzisha!! hiyo betpawa ni well established..nazungumzia nyingine.Acha habari za vijiweni wewe,moja ya kampuni inayofanya kazi Nigeria ni betpawa,sasa wewe hizi story huwa unazipataje,una smartphone lakini hujui kuutafuta ukweli baada ya kupata habari za uzushi
Ingia google andika betting companies in Nigeria utapata msururu wa makampuni
Wao wanatumia calculation ambayo ni computer based inayoangalia timu imeshinda ngapi imedraw ngapi, aliyeshinda nyingi ndo computer inamuweka anashinda, so ww angalia msimamo wa lg mechi tano za mwisho kwa wote then amua mwenyewe, tafuta viligi vidogo kama iceland,austria daraja LA pili, romania daraja LA pili,norway daraja LA pili na Switzerland challenge league fanya uchanguzi then chukua mechi moja kila nchi zpe gg tu, hzo zinatoa sana gg,vip kubet kwa kutumia utabiri na uchambuzi wa mapreditors?
Ahsante kwa maushauri mkuu👏👏💯Wao wanatumia calculation ambayo ni computer based inayoangalia timu imeshinda ngapi imedraw ngapi, aliyeshinda nyingi ndo computer inamuweka anashinda, so ww angalia msimamo wa lg mechi tano za mwisho kwa wote then amua mwenyewe, tafuta viligi vidogo kama iceland,austria daraja LA pili, romania daraja LA pili,norway daraja LA pili na Switzerland challenge league fanya uchanguzi then chukua mechi moja kila nchi zpe gg tu, hzo zinatoa sana gg,
Timu kubwa zinauza sana mechi zenyewe zipe corner,card,sub penalty var check
JARB NA ICE HOCKEY inatoa sana
Forebet prediction wazuri sana kama unapick timu mbili au tatu pia soccerplatform usilipie nenda click kwenye free picks or predictionNimewahi kumfuatilia Tailor pale epl nimetoka kapa...... Anapataga kwa 15% only