Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Aiseeeee una experience ya zaidi ya miaka 5 kwenye kazi yako ya Afisa Ubashiri😀😀😀Nina miaka mi5 Niko kwenye gemu mwaka huu Hali imekuwa ngumu zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeee una experience ya zaidi ya miaka 5 kwenye kazi yako ya Afisa Ubashiri😀😀😀Nina miaka mi5 Niko kwenye gemu mwaka huu Hali imekuwa ngumu zaidi
nasubiri mkeka boss umefikia wapi! sijawahi kubti ilalabda nikutengenezee mkeka hela hy nilipanga yote nikawasaidie yatima na wagonjwa pamoja na wafungwa so naenda kuwapa hela yote sitaki nibak hata na mia mana kama kula beting nimekula vya kutosha na nimeliwa vya kutosha
Kwako hilo ndio Lina kuumiza ila kwangu kuliwa na kukula ni part entertainmentNdo ufanye kama njia yakipato au starehe kupunwa kuko pale pale 😄
Jifariji 😄Kwako hilo ndio Lina kuumiza ila kwangu kuliwa na kukula ni part entertainment
Kuji fariji na nini sasa kati hii Dunia Kuna kukosa na kupata sasa ina tegemea na wewe kama unaibeba ajeJifariji 😄