Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

Tangu nianze kusoma nyuzi humu, nimejuta kusoma uzi huu, kuandika umri kabla ya yote ni suala la msingi sana.
 
Tuendeleee...............

"Hii thread inaujumbe mzuri hasa kwa wale wanaochukuliwa poa kimakosa, cha muhimu ni kutumia uwezo wako kuwaprove wrong wanaokuchukulia chenjeu"

Habari za yule madam zikawa zimeishia pale na mimi niliendelea na masomo yangu kama kawaida.
Mambo za dancing ziliendelea pia sikuacha mpka namalizia advance na nilifaulu vizuri tu.

Mwaka huo huo mwezi wa11 nikaanza chuo x.
Hali ya kubezwa iliendelea kama kawaida, sikuona ajabu kwasababu nilikuwa nishazoea na nilishawaprove wrong watu wengi walonibeza toka primary including my biological father.

Sasa ile semester ya kwanza mwaka wa 1 tulihitajika kufanya mtihani wa kingereza.
Tulipewa rariba na siku ya jmoc nakumbuka ndo tukifanya hilo paper.

Kuna jamaa tulikuwa wote room moja, huyo jamaa tulikuwa na ka urafiki kwa mbali Sasa siku hiyo ilikuwa jpil tupo room katika stors jamaa kanilopokea "oya matokeo ya mtihan yanatoka j3 ila kwa ninavokuona ulivo chenga ushafeli wewe"

Nikamjibu " angalia usije ukawa wew ndo umefeli" jamaa akasema "yani mimi nifeli hafu wew ufaulu" nikasema Haina shida tuwe wapole.
J3 ikafika matokeo hayoo msela chaki muhuni nikanyenyua kwapa japo jamaa aliniona kilaza sitatoboa lakini yeye akafeli mimi nikapasua.
Jamaa aliichukua ile course semester nzima lakini tulofaulu hatukuibeba.
Msela tangu siku hiyo akaanza kuniheshimu mpka tukamaliza chuo.

Seee you.......
 
Ul
Ulifaulu vipi hata kuandika Kiswahili fasaha huwezi?
 
Wewe ndo unafanya watu wakudharau
Umesoma hadi kikuu unaandika "hafu" badala ya halafu
Hata mimi nimekudharau tayari
We muhaya relax maisha ni simple we unadhani ni lazima mtu aandike neno lote "halafu" 😝😝
 
Ndugu Mwandishi, Mitihani ya a SABA inaanzaga JUMATANO mzee siyo J3 na mwaka huo 2012 ilifanyika for 2 days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…