bright pledge
Senior Member
- Feb 12, 2021
- 139
- 274
Subscribed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oq huyo Stella achana na mercy, afu unajiita De most Admired wa mercy, kjn hebu nionyeshe kwa mganga wa mercy nami niende, maana si mchezo.Tuendeleee.........
Nikajiunga preform one, nilikuwa na marafiki kadhaa preform one wenzangu na pia pale skul kulikuwa na wachache tulikuwa tunafahamiana akiwemo mtoto wa baba mdogo alikuwa ni wakiume.
Niliendelea poa tu na masomo japo mwendo wangu ndo uleule wa kilevi hatua moja mbele, tatu nyuma yani hakukuwa na aliyekuwa anajielewa.
Baba alikuwa akimpigia cm dada kumuliza naendeleaje na masomo na ananionaje kiujumla. Dada alikuwa ananiteyea sometimes lakini mda mwingine alikuwa ananambia love kwamba hadhani kama nitatoboa.
Tulifanya mtihani mwezi wa 1 mwanzoni kabisa. Mtihani nakumbuka tulifanya jmoc na matokeo yalitoka j3 ya wiki ilofata.
Tulifanya masomo ma3. Hesabu, sayansi na kingereza lakini ilikuwa 3 in one.
Siku ya j3 asubuhi dada alinituma mkaa ali aje kupika tea, njiani nilikutana na wanafunzi wenzangu tulokuwa wote preform one na paper tulipiga wote. Waschana hawa wanaitwa Maria na Neema majina yao halisi.
Tulivokutana barabarani Neema akambia matokeo yametoka akaongeza kwa kusema kwamba wao ndo wapo njiani wanapenda kuangalia. Nikawaomba waniangalizie namimi kwasabb muda ule nilikuwa bize. Maria alinijibu "kwa akili zako unadhani wewe umefaulu? Akaongeza " Wewe umefeli" nikamuitikia nikamjibu "poa"
Ile kauli iliniuma sana kwasabb niliona ni dharau kubwa mtu kunambia nimefeli wakat matokeo bado hajaenda kuangalia. Neema na dada yangu wanafahamiana kwasbb dada zake Neema wapo close sana na dada yangu.
Nilivorud home nikamwambia dada kwamba matokeo yametoka nimeambiwa na kina Neema.
Sikumwambia kuhusu unabii wa akina Neema na Maria nikamute tu.
Dada akawapigia cm dada zake Neema, dada zake Neema wakamwambia kwamba Neema na rafkiake Maria wamefeli ila mimi mdogo wake nimepasi. Dada alifurahi sana na mimi pia nilifurahi mno. Nilibahatika kukutana na Neema kesho yake na akanambia eti mimi ni mchawi nimewarogezea wao wamefeli hafu mimi kilaza nimefaulu. Nikamuitikia tu "poa" then tukaachana.
Baba baada ya kupata zile taarifa alifuarah sana na akatuma pesa ya nauli nirudi kwanza nyumbani maana aliona ni kitu kikubwa sana na nitakuwa nimemuheshimisha kwa wazee wenzake kwasbb ile skul ilikuwa unaosifika sana na ilikuwa na misimo mikali kila angle ikiwemo ufaulu.
Namimi nilikuwa na shauku sana ya kurud home kwasabb nilikuwa na mpenzi wangu wa utotoni nilikuwa tu atakuwa kapata zile taarifa maana kwa sifa ya ile skul watoto wengi walokuwa wakienda kufanya mtihani walikuwa wanafeli na baadhi walikuwa wanafanikiwa.
Huyo mpenz wangu anaitwa Stella, alikuwa form one mimi nipo primary la7, alikuwa ananipenda sana japo mapenz ya utotoni mnayajua hayakuwa na madhara.
Seee you........
*OaOq huyo Stella achana na mercy, afu unajiita De most Admired wa mercy, kjn hebu nionyeshe kwa mganga wa mercy nami niende, maana si mchezo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kilaza mwenyewe
Mercy yupo kwao analeaOq huyo Stella achana na mercy, afu unajiita De most Admired wa mercy, kjn hebu nionyeshe kwa mganga wa mercy nami niende, maana si mchezo.
Kama dharau ingekuwa ni haki basi na mimi ningetakiwa kudharauliwa na mkuu DR Mambo Jambo maana kanizidi umri ila tupo katika kada moja basi asingenidharau kwa umri basi kwakuonekana siko makini na mambo ya kazi maana bado ninaposahau mambo sisiti kumuuliza ila mbali na yote ananiheshimu namuheshimuKaka naona umemkosea heshima sana member mwenzetu hapa jukwaani, huyu atakuwa ni mtu mzima regardless of his age. Hapa jukwaani tukisema sote tuwe na msimamo kama wako hakika jukwaa litakufa kabisaaa.
Naamini kuna watu wanakuzidi sana umri pengine ni kama baba zako ila kutwa kucha mnapishana na kufarakana kwa hoja na kwa heshima kabisa. By the way kuwa na umri mkubwa siyo sifa ya kujifanya ujikweze na kuwadharau uliowazidi umri.
KabisaKama dharau ingekuwa ni haki basi na mimi ningetakiwa kudharauliwa na mkuu DR Mambo Jambo maana kanizidi umri ila tupo katika kada moja basi asingenidharau kwa umri basi kwakuonekana siko makini na mambo ya kazi maana bado ninaposahau mambo sisiti kumuuliza ila mbali na yote ananiheshimu namuheshimu
Sasa wewe ni nani kumdharau mtu kisa umri kaka ? Badilika wewe ni mtu mzima na pia yapo mengi watoto wa hapa jamvini wangetamani kujifunza kwako .
Asante ila nisipokufokea sitaridhika wacha nikufokee kodogo .
Ukome kuwadharau wadogo zangu wa hapa jamvini muone .🙄
Thanks, let's enjoy life experienceMzee wewe ni storyteller mzuri sana
Mzee wa chai upo mpaka hapa hujasema kitu.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usiku huu episode inashukaMbona hujarudi tena
ThebrokerTuendeleee.......
Kipindi kilichofuata cha yule Madam mwishoni mwa kipindi aliniambia nimfate ofisn.
Nilimkubalia na nikamsubr kwanza afike then ndo niende sikutaka niongozane naye barabarani. Nilipofika ofsn madam akaniambia nitafute kiti then nikae pembeni anamaongezi na mimi.
Nilifanya vile na maongezi yakaanza mara moja.
Madam alianza kuniplease kwa zile shit alizonitoleaga that day aliponiambia mimi ni kilaza japo hakwenda direct et kuomba msamaha hapana, bali alianza kunambia et alikuwa katika dimbwi la hasira na hakumaanisha kwamba mimi sijiwezi na wala siwez kufaulu.
Nilimuelewa na yakaisha, akaanza kuniuliza abcd's kuhusu maisha yangu nakotoka na vitu kama hvyo.
Tuliongea kama kwa dk 30 hivi then ananiruhusu nisepe class.
Basi mazoea yakaongezeka akawa ananipa tea na chakula cha staff mara kibao na viofa vya pesa ndogo ndogo.
Sikupenda ukaribu na yule madam kwasababu lifestyle yangu na mazoea na yule madam niliona kama vile ningejibana sana.
Nilikuwa mtu wa kutoroka sana na kwenda madisco vumbimbi mtaani kwahyo nikawaza mazoea na yule madam yangenifanya niwe mtulivu ili nisiingie kwenye makes kesi.
Yule madam akawa anaongeza san ukaribu mpka alifikia hatua ya kuniita kwake alikuwa kapanga mtaani na shoga yake walikuwa wanaish wawili.
Sometimes nilikuwa naenda lakin muda mwingine nilikuwa nampunch kwa visingizio kibao.
Kuna siku ilikuwa ni siku ya michezo, ilikuwa ni jioni. Wanafunz na walimu wengi walikuwa uwanjani, madam alinitafuta kupitia jamaa yangu akanambia nimkute staff.
Nilikuwa nishazoea kuniita ita kwahyo skushangaa sana nikawa najua kabisa ni stors zake za kila siku.
Nilipofika nilikuta kanunua juice zile za azam za mia6 na biskuit za chocolate.
Alinipa nikagonga na nilikuwa na njaa kwasababu ijumaa mchana tulikuwa tunakula ugali maharage na jioni wali kwahyo niliilimbikza njaa ili jioni nikandamize msos wa maana.
Madam akaanza stors zake, aliniuliza hivi ushawahi kupendwa au ushakuwa na kadem hapa skul maana na kudance kwako sdhan kama unawaacha salama.
Hili swali lilinistua sana na yeye aliona kabisa nimestuka akaamua kubadirisha mada hapo hapo kanambia nakaribia kuwapa test ya geography stak uniangushe.
Hapa nikarud kwenye reli kidogo nikamjibu sawa sitakuangusha madam.
Stor ziliendelea lakini mimi kichwani lile swali la kuhusu kuwahi kupendwa na kuwa na tudem pale skul lilikuwa bado linajirudia san na nilikuwa nawaza nini alimaanisha.
Seee you.......