Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

Tuendeleee........

Ule mtihan wawez wa 3 tulifanya na mambo yakawa poa Zaid na hapo ndo wanafunzi na walimu wakaniamin zaid na kuniheshimu tofaut na mwanzo walikuwa wananilipua na maneno ya kunibeza.

Mwez wa 4 form 6 walifanya mahafali na kama kundi tulitumbuiza kwa mafanikio makubwa Zaid na tulibeba points 3 zote. Kiukweli tulikuwa maarufu sana pale skul kwasabb ya kudance.

Mwez wa7 baada ya kutoka likizo kuna walimu wa field walikuja pale skul kutoka vyuo vikuu mbalmbal.
Miongoni mwa walokuja kulikuwa na madam mmoja alikuwa ni mwembamba flan mref kias na ni mweupe kias pia.

Huyo madam alikuwa anafundisha geography.
Siku hiyo kaja class akatukuta tupo tunapiga makelele na mimi nilikuwa nimesimama mbele namtania mshakaj wangu ambaye tulikuwa wote kundini katika mambo zetu za kudance.

Yule madam akatutaka tukae kimya ili tuanze kipindi. Sas mimi nilikuwa bado sijamuona nikawa naendelea na mafujo yangu. Madam alikasirika akaropoka "we dogo Kaa kimya na nenda ukakae tuanze kusoma, hafu wengine wametulia wewe upo mbele unaleta drama za kipuuzi wewe utakuwa kilaza wewe"

Yale maneno kama kawa yalinidhoofisha kwa muda ila nikakaza nikaenda kukaa zangu pindi likaanza.
Yule madam baada ya wiki moja alitoa mtihan kama test. Tulifanya lile pepa na baada ya siku kama mbili akaleta karatas.

Alikuja class kazipanga karatas wa mwisho juu wa kwanza chini.
Akaanza kugawa na akilini kwake alikuwa anajua kuwa kwa zile karatas za mwanzo bas mimi nisingekosa kwasababu siku ile aliongea shit sana juu yangu na alijiridhisha kabsa kwamba mimi kichwani apeche alolo.

Kawaga Pepa zikasogea tu lakini langu analikosa na of course alikuwa hajui jina langu kwahyo alikuwa anaita jina hafu ananiangalia labda nitaamka kwenda kuchukua karatas kat ya wale wa mwanzo mwanzo.

Kagawa karatas mpka ikabak moja akaita kwa mbwembwe na huyu ndo katuongozea kapata marks flan na anaitwa flan. Akaona nainuka kufata karatas, alivoniona nainuka akauliza wew ndo flani? Nikamjibu ndio akauliza tena ni wew au unaleta upuuzi wakunichezea akili? Wajuba wakamjibu ndo yeye.

Madam ni kama aliingiwa na ka aibu flan kwasababu anakumbuka shit alizonitolea wiki ilopita. Basi nikapokea karatas yangu haf nikageuka kuanza kurud. Ile nageuka akanambia ebu rud kwanza hapa. Nikarud akanambia wew unajichetua kumbe una uwezo acha utundu usonafaida tulia usome nikamuitikia sawa then nikasepa.

Hakujua kuwa ile ndo lifestyle yangu na sio wa kwanza yeye kunibeza katika swala la masomo.

Kama mnakumbuka katika Uzi wa Mercy niliwambia kuna madam advance alidata ila sikumla ndo huyu sasa na nitaelezea ilikuwaje kwenye episode ijayo.

Seee you.......
 
Tuendeleee.........

Nikajiunga preform one, nilikuwa na marafiki kadhaa preform one wenzangu na pia pale skul kulikuwa na wachache tulikuwa tunafahamiana akiwemo mtoto wa baba mdogo alikuwa ni wakiume.

Niliendelea poa tu na masomo japo mwendo wangu ndo uleule wa kilevi hatua moja mbele, tatu nyuma yani hakukuwa na aliyekuwa anajielewa.

Baba alikuwa akimpigia cm dada kumuliza naendeleaje na masomo na ananionaje kiujumla. Dada alikuwa ananiteyea sometimes lakini mda mwingine alikuwa ananambia love kwamba hadhani kama nitatoboa.

Tulifanya mtihani mwezi wa 1 mwanzoni kabisa. Mtihani nakumbuka tulifanya jmoc na matokeo yalitoka j3 ya wiki ilofata.

Tulifanya masomo ma3. Hesabu, sayansi na kingereza lakini ilikuwa 3 in one.
Siku ya j3 asubuhi dada alinituma mkaa ali aje kupika tea, njiani nilikutana na wanafunzi wenzangu tulokuwa wote preform one na paper tulipiga wote. Waschana hawa wanaitwa Maria na Neema majina yao halisi.

Tulivokutana barabarani Neema akambia matokeo yametoka akaongeza kwa kusema kwamba wao ndo wapo njiani wanapenda kuangalia. Nikawaomba waniangalizie namimi kwasabb muda ule nilikuwa bize. Maria alinijibu "kwa akili zako unadhani wewe umefaulu? Akaongeza " Wewe umefeli" nikamuitikia nikamjibu "poa"

Ile kauli iliniuma sana kwasabb niliona ni dharau kubwa mtu kunambia nimefeli wakat matokeo bado hajaenda kuangalia. Neema na dada yangu wanafahamiana kwasbb dada zake Neema wapo close sana na dada yangu.

Nilivorud home nikamwambia dada kwamba matokeo yametoka nimeambiwa na kina Neema.
Sikumwambia kuhusu unabii wa akina Neema na Maria nikamute tu.

Dada akawapigia cm dada zake Neema, dada zake Neema wakamwambia kwamba Neema na rafkiake Maria wamefeli ila mimi mdogo wake nimepasi. Dada alifurahi sana na mimi pia nilifurahi mno. Nilibahatika kukutana na Neema kesho yake na akanambia eti mimi ni mchawi nimewarogezea wao wamefeli hafu mimi kilaza nimefaulu. Nikamuitikia tu "poa" then tukaachana.

Baba baada ya kupata zile taarifa alifuarah sana na akatuma pesa ya nauli nirudi kwanza nyumbani maana aliona ni kitu kikubwa sana na nitakuwa nimemuheshimisha kwa wazee wenzake kwasbb ile skul ilikuwa unaosifika sana na ilikuwa na misimo mikali kila angle ikiwemo ufaulu.

Namimi nilikuwa na shauku sana ya kurud home kwasabb nilikuwa na mpenzi wangu wa utotoni nilikuwa tu atakuwa kapata zile taarifa maana kwa sifa ya ile skul watoto wengi walokuwa wakienda kufanya mtihani walikuwa wanafeli na baadhi walikuwa wanafanikiwa.

Huyo mpenz wangu anaitwa Stella, alikuwa form one mimi nipo primary la7, alikuwa ananipenda sana japo mapenz ya utotoni mnayajua hayakuwa na madhara.

Seee you........
Oq huyo Stella achana na mercy, afu unajiita De most Admired wa mercy, kjn hebu nionyeshe kwa mganga wa mercy nami niende, maana si mchezo.
 
Kaka naona umemkosea heshima sana member mwenzetu hapa jukwaani, huyu atakuwa ni mtu mzima regardless of his age. Hapa jukwaani tukisema sote tuwe na msimamo kama wako hakika jukwaa litakufa kabisaaa.
Naamini kuna watu wanakuzidi sana umri pengine ni kama baba zako ila kutwa kucha mnapishana na kufarakana kwa hoja na kwa heshima kabisa. By the way kuwa na umri mkubwa siyo sifa ya kujifanya ujikweze na kuwadharau uliowazidi umri.
Kama dharau ingekuwa ni haki basi na mimi ningetakiwa kudharauliwa na mkuu DR Mambo Jambo maana kanizidi umri ila tupo katika kada moja basi asingenidharau kwa umri basi kwakuonekana siko makini na mambo ya kazi maana bado ninaposahau mambo sisiti kumuuliza ila mbali na yote ananiheshimu namuheshimu

Sasa wewe ni nani kumdharau mtu kisa umri kaka ? Badilika wewe ni mtu mzima na pia yapo mengi watoto wa hapa jamvini wangetamani kujifunza kwako .
Asante ila nisipokufokea sitaridhika wacha nikufokee kodogo .

Ukome kuwadharau wadogo zangu wa hapa jamvini muone .🙄
 
Kabisa
 
Tuendeleee.......

Kipindi kilichofuata cha yule Madam mwishoni mwa kipindi aliniambia nimfate ofisn.
Nilimkubalia na nikamsubr kwanza afike then ndo niende sikutaka niongozane naye barabarani. Nilipofika ofsn madam akaniambia nitafute kiti then nikae pembeni anamaongezi na mimi.
Nilifanya vile na maongezi yakaanza mara moja.

Madam alianza kuniplease kwa zile shit alizonitoleaga that day aliponiambia mimi ni kilaza japo hakwenda direct et kuomba msamaha hapana, bali alianza kunambia et alikuwa katika dimbwi la hasira na hakumaanisha kwamba mimi sijiwezi na wala siwez kufaulu.

Nilimuelewa na yakaisha, akaanza kuniuliza abcd's kuhusu maisha yangu nakotoka na vitu kama hvyo.
Tuliongea kama kwa dk 30 hivi then ananiruhusu nisepe class.
Basi mazoea yakaongezeka akawa ananipa tea na chakula cha staff mara kibao na viofa vya pesa ndogo ndogo.
Sikupenda ukaribu na yule madam kwasababu lifestyle yangu na mazoea na yule madam niliona kama vile ningejibana sana.

Nilikuwa mtu wa kutoroka sana na kwenda madisco vumbimbi mtaani kwahyo nikawaza mazoea na yule madam yangenifanya niwe mtulivu ili nisiingie kwenye makes kesi.

Yule madam akawa anaongeza san ukaribu mpka alifikia hatua ya kuniita kwake alikuwa kapanga mtaani na shoga yake walikuwa wanaish wawili.
Sometimes nilikuwa naenda lakin muda mwingine nilikuwa nampunch kwa visingizio kibao.

Kuna siku ilikuwa ni siku ya michezo, ilikuwa ni jioni. Wanafunz na walimu wengi walikuwa uwanjani, madam alinitafuta kupitia jamaa yangu akanambia nimkute staff.
Nilikuwa nishazoea kuniita ita kwahyo skushangaa sana nikawa najua kabisa ni stors zake za kila siku.
Nilipofika nilikuta kanunua juice zile za azam za mia6 na biskuit za chocolate.
Alinipa nikagonga na nilikuwa na njaa kwasababu ijumaa mchana tulikuwa tunakula ugali maharage na jioni wali kwahyo niliilimbikza njaa ili jioni nikandamize msos wa maana.

Madam akaanza stors zake, aliniuliza hivi ushawahi kupendwa au ushakuwa na kadem hapa skul maana na kudance kwako sdhan kama unawaacha salama.
Hili swali lilinistua sana na yeye aliona kabisa nimestuka akaamua kubadirisha mada hapo hapo kanambia nakaribia kuwapa test ya geography stak uniangushe.
Hapa nikarud kwenye reli kidogo nikamjibu sawa sitakuangusha madam.

Stor ziliendelea lakini mimi kichwani lile swali la kuhusu kuwahi kupendwa na kuwa na tudem pale skul lilikuwa bado linajirudia san na nilikuwa nawaza nini alimaanisha.

Seee you.......
 
Tuendeleee............

Siku zilienda na yule madam akiendelea kuleta ile michezo ya kunitega kimapenz japo mimi nilikuwa naonesha characters za kitoto lakini nilikuwa najua ni nini alikuwa akimaanisha.

Ilikuwa siku ya talent kwa mara nyingne, kama kawaida mimi na wenzangu tulitumbuiza na siku hiyo tuliokota sana maokoto yani nahisi ni kuzid siku zote.

Baada ya kutoka jukwaani tulirud bwenini kubadirisha mavaz na tukarud na mavaz ya kawaida.
Ile nimerud kwenye event kuna mabint wawili mmoja anaitwa Leah na mwingine Magreth walikuja wakaniletea pop corn na juice na walikuwa wananipamba kinoma kumbe kile kitendo madam alikuwa anakishuhudia mwanzo mwisho na kwa ukaribu sana.

J3 yake maana ile event ilikuwa ni ijumaa, Sasa j3 madam aliniita ofcn akaanza kuniuliza kwahyo tule ndo tudem twako? Nikamuliza akina nani? Akanijibu vile vilivokuletea pop corn na juice baada ya kutoka kwenye show.
Nikamjibu mimi sina mahusiano na mwanafunzi yeyote pale skul, nilimjbu vile nikiwa naogopa pia labda angenichukulia hatua za kisheria kwasababu yeye ni mwalim wangu.
Madam alimalizia kwa kusema wewe endekeza mapenz uje uharibikiwe kwenye masomo basi akaniruhusu nisepe.

Weekend ya wiki ile madam aliniita kwake ilikuwa ni birthday yake. Aliwaarika na mamadam wengine walokuwa field skulz zingine pale mjini. Kwahyo pale kwake kulikuwa na nyomi la watu na asilimia 90 walikuwa ni madem wanaume tulikuwa kama wa3 na wale washkaji wa2 walikuwa apia ni walim wenzako wa field na kila mmoja alikuwa na manzi yake.

Yule madam akanitambulishe kama mwanafunzi wake anayempenda sana bas umati wote wakacheka nikajiona kama nimechoreshwa vile kiukweli sikupenda. Muziki ulipigwa pale na madam alinilazimisha sana nitoe show nilicheza kidogo tu nikavunga then baadae akanilazmsha tucheze wote. Ni kama alikuwa katumia vilevi kidogo maana nakumbuka kulikuwa na vichupa vya wine pale.

Kile kitendo cha kucheza na madam niliona ni ujinga na skukubali kwasababu nilikuwa najiona kama nitaonekana mtov wa nidham na nilikuwa na aibu sana kiukweli sikuweza.
Nilisubr muda wa kupiga msos nikapiga then nikatafuta visabab ili nisepe skul nikapoe zangu niwaachie waendelee wenyewe.

Nilivorud ckul niliwahadithia washkaji zangu wakaniona mimi fala na weng walokuwa wananisihi nimbutue madam lakin mm nilikuwa mbali sana na yale mawazo nilikuwa nawaza kwamba endapo kama ningempiga bas ningeish maisha ya tofaut sana na ningeathirika kisaikorojia.

Niliendelea kumpwepa madam richa ya mitego na trials nying ili aninase lakin nilimkwepa sana.
Nakumbuka kuna siku aliniita kwake akaniita mpka chumbani et nikamtungulie net anahitaj kuifua yeye hafikii na wakat ured tulikuwa almost sawa.
Mimi nilienda na nilimkuta akiwa na kibukta kifupi sana na juu kajifunga kanga kuziba matiti tu ila tumbo na kitov nje nje.

Asee siku hiyo nilitetemeka sana na nikimtungulia net na kurud seburen fasta japo alikuwa kama bado anahitaj nibakie room.
Baada ya lile tukio niliona kama alianza kubadrka akaanza kuweka distance namimi lakin still mazoea yalikuepo.

Tulienda vile mpka field ikaisha akaniachia namba zake na mpka saiv namba bado ninazo kwenye email yangu niliisevu huko maana nilianza kutumia smart baada tu ya kumaliza olevel. Japo mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa mwaka 2022 saiv kasholewa yupo mbeya huko mwanjerwa.

Mimi niliendelea ma masomo yangu kama kawaida.

See you.........
 
Tuendeleee.......

Kipindi kilichofuata cha yule Madam mwishoni mwa kipindi aliniambia nimfate ofisn.
Nilimkubalia na nikamsubr kwanza afike then ndo niende sikutaka niongozane naye barabarani. Nilipofika ofsn madam akaniambia nitafute kiti then nikae pembeni anamaongezi na mimi.
Nilifanya vile na maongezi yakaanza mara moja.

Madam alianza kuniplease kwa zile shit alizonitoleaga that day aliponiambia mimi ni kilaza japo hakwenda direct et kuomba msamaha hapana, bali alianza kunambia et alikuwa katika dimbwi la hasira na hakumaanisha kwamba mimi sijiwezi na wala siwez kufaulu.

Nilimuelewa na yakaisha, akaanza kuniuliza abcd's kuhusu maisha yangu nakotoka na vitu kama hvyo.
Tuliongea kama kwa dk 30 hivi then ananiruhusu nisepe class.
Basi mazoea yakaongezeka akawa ananipa tea na chakula cha staff mara kibao na viofa vya pesa ndogo ndogo.
Sikupenda ukaribu na yule madam kwasababu lifestyle yangu na mazoea na yule madam niliona kama vile ningejibana sana.

Nilikuwa mtu wa kutoroka sana na kwenda madisco vumbimbi mtaani kwahyo nikawaza mazoea na yule madam yangenifanya niwe mtulivu ili nisiingie kwenye makes kesi.

Yule madam akawa anaongeza san ukaribu mpka alifikia hatua ya kuniita kwake alikuwa kapanga mtaani na shoga yake walikuwa wanaish wawili.
Sometimes nilikuwa naenda lakin muda mwingine nilikuwa nampunch kwa visingizio kibao.

Kuna siku ilikuwa ni siku ya michezo, ilikuwa ni jioni. Wanafunz na walimu wengi walikuwa uwanjani, madam alinitafuta kupitia jamaa yangu akanambia nimkute staff.
Nilikuwa nishazoea kuniita ita kwahyo skushangaa sana nikawa najua kabisa ni stors zake za kila siku.
Nilipofika nilikuta kanunua juice zile za azam za mia6 na biskuit za chocolate.
Alinipa nikagonga na nilikuwa na njaa kwasababu ijumaa mchana tulikuwa tunakula ugali maharage na jioni wali kwahyo niliilimbikza njaa ili jioni nikandamize msos wa maana.

Madam akaanza stors zake, aliniuliza hivi ushawahi kupendwa au ushakuwa na kadem hapa skul maana na kudance kwako sdhan kama unawaacha salama.
Hili swali lilinistua sana na yeye aliona kabisa nimestuka akaamua kubadirisha mada hapo hapo kanambia nakaribia kuwapa test ya geography stak uniangushe.
Hapa nikarud kwenye reli kidogo nikamjibu sawa sitakuangusha madam.

Stor ziliendelea lakini mimi kichwani lile swali la kuhusu kuwahi kupendwa na kuwa na tudem pale skul lilikuwa bado linajirudia san na nilikuwa nawaza nini alimaanisha.

Seee you.......
Thebroker
 
Back
Top Bottom