Kubinuka kwa makalio ya wanawake kwenye bodaboda

Wasalaam Wakuu,

Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama

Hii imekuwa ni kama fashion kwa kila mwanamke,hawezi kukaa kwa kunyooka bila sawasawa ila mpaka abinue kiuno chake na kalio lake lionekane vzr

Jamani Leo ilibaki kidogo nipate ajali ya Bodaboda kunipita ikiwa imebeba mwanamke alie binua makalio yake vzr na kunifanya nipoteze concentration barabarani kwa kuyatolea macho Yale makalio yake

Effect za kututamanisha yale makalio yenu makubwa ni mbaya sana,inafikia hatua mtu unatamani kuwa na tabia za UMende,kusababisha ajali zisizo za lazima,pia kutuchelewesha katika harakati zetu baada ya juzi kunitokea tena tukio la mwanamke kubinua makalio yake kwenye Bodaboda,na nikatokea kuyatamani yale makalio yake, ikabidi nifuatilie ile Bodaboda kutoka Kariakoo mpk Mbagala ili tu nipate mawasiliano ya yule Dada

Naomba serikali na jamii kwa ujumla iingilie kati jambo hili kwa kulikemea hasa juu ya hii tabia kwani wanawake wameona udhaifu wetu mkubwa ni hayo makalio yao ila tukiwaomba mtandao pendwa Wa Tigo wanakuwa wakali wakati mm nilikupendea hayo makalio yao

Naomba kuwasilisha Tafadhali!
Tena abinue tako huku wamevaa vile vicomdom wanaviiata leggings....hatari na tako likiwepo balaaa
 
FB_IMG_16501390634758664.jpg
 
Jamani hizi pikipiki kubwa au Baja ukikaa tuu lazima ubinuke, pia wapo wale wanaojibinua kwa kukusudia, cjajua huwa wanatafuta nini.
 
Acha kuwaangalia wengine wanapromote biashara zao
 
Wasalaam Wakuu,

Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama

Hii imekuwa ni kama fashion kwa kila mwanamke,hawezi kukaa kwa kunyooka bila sawasawa ila mpaka abinue kiuno chake na kalio lake lionekane vzr

Jamani Leo ilibaki kidogo nipate ajali ya Bodaboda kunipita ikiwa imebeba mwanamke alie binua makalio yake vzr na kunifanya nipoteze concentration barabarani kwa kuyatolea macho Yale makalio yake

Effect za kututamanisha yale makalio yenu makubwa ni mbaya sana,inafikia hatua mtu unatamani kuwa na tabia za UMende,kusababisha ajali zisizo za lazima,pia kutuchelewesha katika harakati zetu baada ya juzi kunitokea tena tukio la mwanamke kubinua makalio yake kwenye Bodaboda,na nikatokea kuyatamani yale makalio yake, ikabidi nifuatilie ile Bodaboda kutoka Kariakoo mpk Mbagala ili tu nipate mawasiliano ya yule Dada

Naomba serikali na jamii kwa ujumla iingilie kati jambo hili kwa kulikemea hasa juu ya hii tabia kwani wanawake wameona udhaifu wetu mkubwa ni hayo makalio yao ila tukiwaomba mtandao pendwa Wa Tigo wanakuwa wakali wakati mm nilikupendea hayo makalio yao

Naomba kuwasilisha Tafadhali!
wanatutega wanaume kabisa
 
Back
Top Bottom