Kubomoka kwa daraja la Kiyegeya: Meneja Tanroads Morogoro arudishwa Wizarani

Awamu Hii Ya Tano
Inajitahidi Sana Mpaka Mheshimiwa PM Ametoa Pole Toka Kwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hivyo vishimo ni kero balaah, mwaka mzima vinakaa bila kuzibwa
 
Tanroads mkishirikiana na jeshi la polisi undeni haraka Road patrol and rescue department itakayokuwa na tawi kila mkoa na kazi yake kuu ni kufanya daily road patrol kuangalia road traffics, road damages, na road safety kiujumla Tanzania nzima, uokozi wote kwenye ajali za barabarani utafanywa mara moja na hii department, magari mabovu yote lazima immediately yaondolewa na hawa jamaa, barabara mbovu zinazohitaji matengenezo ya haraka wapewe hawa jamaa.

Kila mkoa kupitia hizo Road patrol departments unatakiwa uwe na vitendea kazi vifuatavyo, Mobile crane tatu ( 40tons, 60tons na 200tons), Breakdowns za kutosha, Low beds x 2, wheel loaders,Excavators, lighting plants, load signs, load blocks na ambulance kadhaa. Team lazima iwe na helicopters hata mbili na zipaki headquarter na inapotokea zinahitajika popote pale ziende haraka.

Dunia inakwenda kasi sana.
 
Ukija na mawazo mbadala unakumbwa na figisu Kama alizokumbana nazo kamishna jenerali wa zimamoto aliyepita, afande Thobias Andengenye!
Ni vyema wakawa creative na pia wafuate taratibu katika kufikisha mawazo yao. Tusiwe waoga kuja na mawazo mbadala, na pia tusisahau kufuata taratibu.
 

Hebu tueleze; TANROADS wanahusikaje na mabasi kubadilishana abiria pande mbili za barabara?
 
Huyo anayejiita waziri mkuu amekubuhu kuchukua hatua zenye ombwe la uongozi...!! Shame on him!
 
Asante sana waziri Mkuu Majaliwa. Hivyo ndivyo inavyotakiwa ku react. Ukiendelea hivyo Ticket yako iko wazi ya wewe kumrithi Rais Magufuli 2025.

Tanzania inahitaji viongozi wanao yaona matatizo na kutumia mamlaka yao kukabiliana nayo mara moja. Watanzania hawahitaji viongozi wanao piga piga porojo. Nyakati za porojo na kusameheana kwa makosa ya kijinga zimepita, sasa ni nyakati za ku take action.

Hongera sana waziri mkuu, hongera sana. Mungu akujalie na azidi kukupa ujasiri wa kuchukua maamuzi mazito. Thank you![emoji120]

Kitengo ambacho mimi kwa hisia zangu, mtanisamehe kama nitakuwa sipo "up to date", ni wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. Sina uhakika kama Mh. Engineer Kamwelwe analitambua hilo. Nina uhakika maovu mengi ya utekelezaji mbovu wa miradi ya barabara kama hii na ujenzi wa majengo inawezekana unasababishwa na watu wenye mamlaka wizarani.

Mimi binafsi sina imani kubwa sana na Waziri Kamwelwe. Inawezekana akawa yuko vizuri katika fani yake, lakini katika usimamizi na ufuatiliaji wa watumishi anao waongoza sidhani kama yuko vizuri. Naona kama bado anatumia zile njia za zamani katika kuwasimamia watendaji wa chini yake.

Kwanini hachukui mifano ya mawaziri wenzake kama Waziri Kalemani, Kigwangalla, Lukuvi, Jafo, Biteko, Hasungwa na Naibu waziri wake Bashe, Prof. Mbarawa, Prof. Mpango, Ummy Mwalim na Prof. Kabudi?Watanzania hatuna budi kujivunia hawa mawaziri wetu. Haya ni mejembe yetu. Hapa Rais hakufanya kosa kuwateua. Shukran za thati zimwendee Rais wetu na majembe yetu. Mungu awabariki na kuwajalia katika majukumu yenu ya kulivusha Taifa letu kwenye uchumi wa kati 2025. Nawapenda sana na ninaimani na nyie.[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malkia alimwambia Nyerere (tunaemwabudu) kuwa "hamuwezi kujitawala" miubishi yake ona sasa!!
 
Kwani anajenga kwa mshahara wake huyo Meneja?

Watumbuaji wa hao Mamenej ndio wahusika wanaipaswa kupeleka fedha za ujenzi n ukarabati
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…