SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

Tanzania Tuitakayo competition threads

Rabai

New Member
Joined
May 26, 2024
Posts
1
Reaction score
1
III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile;
1. Uchaguzi kuwa wa haki na kweli
Viongozi wanaopatikana kwa Uchaguzi wanatakiwa kuwa wale walochaguliwa na wananchi wenyewe na kuepuka vitendo vvya wizi na rushwa
inbound2796239704751063528.jpg

jamiiforums.com
2. Viongozi wa chama tawala kuwa na umoja na wale wa upinzani kupunguza vitendo vinavyokiuka haki za binadamu
inbound6880620048666482822.jpg

BBC
3. Kuwepo tume huru ya kusimamia uchaguzi ili kuwapa viongozi makini wenye jicho la kuikwamua Tanzania kutoka katika janga la umaskini, uchumi mdogo na elimu bora

4. Viongozi wa upinzani kuacha kabisa vitendo vya kuchochea migogoro na matabaka kati ya serikali kuu na wananchi au kati ya wananchi wao kwa wao maana huleta vitendo vya vurugu na ukiukwaji wa haki

inbound6425838750278373267.jpg

VOA(voice of Africa)
5. Viongozi wa upinzani kupata nafasi za kutoa mawazo katika kuijenga Tanzania na kuruhusiwa kuchangia hoja migogoro katika nchi yetu
inbound2459629753864073762.jpg

Grobal publisher
6. Mchakato wa katiba mpya kutazwa kwa jicho la tatu
inbound5789280014470054979.jpg

BBC
Hitimisho; pongezi kwa Rais wa awamu ya Tano Mh. Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kuonyesha mwanga katika siasa na demokrasia hili likitiliwa mkazo ndani ya miaka 5 na kuendelea tutafanikiwa
Ahsanteni
 
Upvote 2
Viongozi wa upinzani kupata nafasi za kutoa mawazo katika kuijenga Tanzania na kuruhusiwa kuchangia hoja migogoro katika nchi yetu
Yas, tunajenga nchi moja kila mmoja afanye kazi yake. Na hiyo ndiyo kazi ua chama pinzani.
Ahsante
 
Back
Top Bottom