Kubuni tangazo elfu hamsini kupewa mshindi

Kubuni tangazo elfu hamsini kupewa mshindi

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Jamani kuna dawa nimeigundua inatibu nguvu za kiume na kukuza uume.
Hivyo nahitaji tangazo ambalo litatumwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii liwe la kuvutia
Shindano hili litaendeshwa mpaka tarehe ishirini mwezi wa kumi 20/10/2017.
Kigezo cha mshindi ni wingi wa likes
Mshindi atajipatia elfu hamsini.
Karibuni
Jina la dawa:ngapuga
NB huu ni utani tu
 
Hivi kwani upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo ni Ugonjwa??
Wataalamu mtanielewesha
 
Back
Top Bottom