Kubwagwa kwa Kamala Harris, wamerekani bado wamekumbatia mfumo dume

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trump, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, Kamala kabwagwa.

Ni wazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu.
Shida ni sera za chama chake,,,,,watu wamewachoka hapo hata angekaa biden au angewekwa mwanaume badala ya mwanamama Kamala bado wangeshindwa,,,,sera zao kwa sasa hazina mvuto kwa raia wao.....watu wamewachoka wakina clinton na obama ambao ndo ma mastermind kwenye hiko chama kwa sasa
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu.
Akili zako! Yaani bado hujaona madhara ya kupewa nafasi kwa sababu jinsia!?
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.

Mwanamke bado hajawa na uwezo wa kuwa amirijeshi mkuu wa jeshi la dunia kiongozi! Sio wamarekani tu hawajawa tayari kuwa na rais mwanamke, hata dunia bado haijawa tayari kumpokea
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Wewe huelewi Marekani siyo bongo ndugu yangu huyo ndo polisi wa dunia.huwezi kumpa mwanamme akaiongoza hiyo nchi.marekani ndo dira ya dunia na pia ni nchi inayobalance ulimwengu katika nyanja nyingi hivyo unadhani wamarekani wajinga kiasi hicho.kibongo bongo sawa sababu huku ni mapambio tu basi lkn kwa wenzetu hakuna longo longo.
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Acha apigwe chini huyo
 
Huko wanaangalia uwezo wa mtu na siyo mfumo dume.wamarekani wameona Trump anafaa ndiyo maana ameshinda tofauti na Nchi Yako ambayo mtu anaweza kupata muserereko wa kurithi.
Nani kakudanganya,unataka kusema toka USA imepata uhuru hakuwahi kutokea Mwanamke mwenye uwezo au maarifa zaidi ya Mwanaume?
 
Wala siyo mfumo dume.

Kamala was a horrible candidate.

Hakupata nomination kiushindani.

Democrats hawakuwa na primaries.

Angeshindanishwa na wagombea wengine asingechomoka kabisa.

Hawezi kushindana na Josh Shapiro, Gavin Newsome, au hata Gretchen Whitmer.
 
Ingekuwa kituko kwa US kutawaliwa na mwanamke,,,, ! Watu hawajifunzi, hata 2016 Democrats walikosea sana kumweka mwanamama awe mgombea,,,, the same applies to 2024, !!!!

Democrats waliishiwa sera, alafu Biden alivurunda sana, ingekuwa ngumu sana kutoboa
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
ila trump ni mwamba sana awamu zote anashindanishwa tu na ke na anawabwaga manyanga
 
Back
Top Bottom