Kubwagwa kwa Kamala Harris, wamerekani bado wamekumbatia mfumo dume

Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Wamarekani siyo wajinga. Wanajua Wanawake hawawezi kuongoza nchi ikapata mafanikio kwa maana ikaendelea.

Nitajie nchi moja duniani iliyowahi kuongozwa na mwanamke ikatoka katika hali yakuwa inaendelea na ikatajwa kuwa imeendelea.
 
Tena bora hata Hillary Clinton alishinda popular votes

huyu Kamala Harris kapigwa pande zote.

Yes Republican wamelamba na congress yote so Trump atateleza sasa kufanya mambo yake, akiamua kulipa visasi hapo ndio balaa kwa wapinzani wake!
 
Kwa dunia ilipofikia sasa inamuhitaji huyu mzee, atakayeleta mshikamano China, Urusi, Iran, Israel na wengineo.

Inawezekana ameshinda kimkakati ili kutuliza hizi ghasia/vita zinazoendelea; kwa sababu ni vigumu kwa kiongozi aliyeko madarakani kuanzisha vita, watu wakamwaga damu zao, alafu kiongozi huyo huyo aliyeanzisha vita ndio asitishe vita; kunaweza kutokea maafa kwa kiongozi huyo.

Kwa mfano, kupitia kwa Trump kama atasitisha vita Ukraine, rais wa Ukraine atakuwa salama katika kujitetea kwa serikali yake.

Watu wamechoka vita, je unaisitishaje wakati wapo watu wamepoteza ndugu zao?​
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Sera za vita vimewaponza , ingawa mambo mengine ya katrump sijui itakuwaje
 
Nyumba yako anatawala mwanamke? Kutawaliwa na mwanamke sio sawa hata kidogo ni sisi wabongo tu labda, ila me anapaswa kutawala nchi kwa namna yoyote ile. Ngoja tuone bongoland
 
Baada ya trump uchaguzi ujao utakua kati ya wanawake. Rep na Dem wataweka wagombea wanawake. Ni utabili tu
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Hakika wanawake hawastahili kupewa nafasi ya urais. Ni kujidanganya kuwa wanawake wanaweza lakini siyo kuwapa nchi. Raia wanaojua umuhimu wa nafasi ya urais wamempiga chini Kamala Harris.
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Kutakuwa na mtu aliyekwenda kumchulia (kumwaribia). Wamarekani wakaona kama hali yenyewe ya kuongozwa na mwanamke ndo hii, wakaona bora walichague li Trump pamoja na "ukichaa" wake.
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Trump kafanikiwa kuwashinda wagombea wanawake tu...
 
Nilivyo ona tu kamala Harris anawatumia akna card b kuconvice RAIA wampigie kura nikaseme tu huyu hatoboi hapa mwenzake trump anawatumia matajiri wenye akili zao akna elon musk
 
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.

Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.

niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Na Tanzania pia tuige wamarekani...
 
Nilivyo ona tu kamala Harris anawatumia akna card b kuconvice RAIA wampigie kura nikaseme tu huyu hatoboi hapa mwenzake trump anawatumia matajiri wenye akili zao akna elon musk
Alimtumia hadi beyonce lkn wapi.
 
hata tz hatuko tayari kutawaliwa na mwanamke uoga wa maguful ndio umetufikisha hapa.
 
Back
Top Bottom