Shida ni sera za chama chake,,,,,watu wamewachoka hapo hata angekaa biden au angewekwa mwanaume badala ya mwanamama Kamala bado wangeshindwa,,,,sera zao kwa sasa hazina mvuto kwa raia wao.....watu wamewachoka wakina clinton na obama ambao ndo ma mastermind kwenye hiko chama kwa sasaUchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.
niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu.
Akili zako! Yaani bado hujaona madhara ya kupewa nafasi kwa sababu jinsia!?Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.
niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu.
Nawaunga mkono! Wanawake wenyewe ndio hawa tulionao hapa!Mmarekani akatawaliwe na mwanamke ? Impossible.
Kwa nini?Mmarekani akatawaliwe na mwanamke ? Impossible.
Exactly, alishindwa Hillary ambae ni mzungu ndo iwe Kamala….Mmarekani akatawaliwe na mwanamke ? Impossible.
Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.
niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Wewe huelewi Marekani siyo bongo ndugu yangu huyo ndo polisi wa dunia.huwezi kumpa mwanamme akaiongoza hiyo nchi.marekani ndo dira ya dunia na pia ni nchi inayobalance ulimwengu katika nyanja nyingi hivyo unadhani wamarekani wajinga kiasi hicho.kibongo bongo sawa sababu huku ni mapambio tu basi lkn kwa wenzetu hakuna longo longo.Uchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.
niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Acha apigwe chini huyoUchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.
niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.
Nani kakudanganya,unataka kusema toka USA imepata uhuru hakuwahi kutokea Mwanamke mwenye uwezo au maarifa zaidi ya Mwanaume?Huko wanaangalia uwezo wa mtu na siyo mfumo dume.wamarekani wameona Trump anafaa ndiyo maana ameshinda tofauti na Nchi Yako ambayo mtu anaweza kupata muserereko wa kurithi.
ila trump ni mwamba sana awamu zote anashindanishwa tu na ke na anawabwaga manyangaUchaguzi wa marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trumph, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, kamala kabwagwa.
niwazi kabisa kuwa wamarekani bado hawawaamini wanawake kwenye nafasi za uongozi wa juu, bado wamekumbatia mfume dume.