Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.

Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho.

Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee.

Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani Kila mwaka.

Ninashauri mwaka 2025 ,nafasi za udiwani umri wa kutokujaza fomu uwepo na mtu mwenye miaka 60 asiruhusiwe kujaza fomu za udiwani,Wala ubunge Wala urais.
 
kwani vijana hawafi...Toa sababu nyingine lakini isiwe kisa watakufa kabla ya muda kuisha ndio tusiwachague waliozidi miaka 60
 
Kisanyansi, probabiliti ya kutokea kwa vifo 3 vya hao viongozi ndani ya muhula mmoja wa utawala wao ni ngapi?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom