Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho.
Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee.
Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani Kila mwaka.
Ninashauri mwaka 2025 ,nafasi za udiwani umri wa kutokujaza fomu uwepo na mtu mwenye miaka 60 asiruhusiwe kujaza fomu za udiwani,Wala ubunge Wala urais.