Kuchaguliwa bila matokeo std vii

Kuchaguliwa bila matokeo std vii

mbm

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
604
Reaction score
286
wana jf kwanini matokeo ya darasa la saba hayatoki ????
Tangu nimalize shule ya msingi 1994 sijawahi kuyaona matokeo yangu, naelezwa kwa ujumla tu eti hujachaguliwa!!!!!!! nani huyo anayechagua bila kuangalia matokeo??????
tunaona kila siku watu wamechaguliwa kujiunga form one lakini ufaulu wao haujulikani.
nchi jirani ya kenya wanatoa matokeo why not tanzania???
 
Kuna madudu nyuma ya pazia. We hujiulizi kwa nini huwa hawaachi karatasi za maswali shule? Hawa jamaa wanaficha mambo mengi ya ajabu wanayofanya.
 
Labda wilayani kwako hawaonyeshi lakini kwetu wanaonyesha tena ukienda ofisi ya mwalimu mkuu unaonyeshwa na alama uliyopata. Mafisadi tu ndo huwa wanaficha matokeo
 
kwanini wasitoe kwenye vyombo vya habari kama ya fIV??????
 
wilaya yako ni ipi kaka
tujulishe maana tuliokosa matokeo ni wengi.
mpaka uchaguliwe ndo unapewa matokeo nini??????(
 
Back
Top Bottom