mbm
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 604
- 286
wana jf kwanini matokeo ya darasa la saba hayatoki ????
Tangu nimalize shule ya msingi 1994 sijawahi kuyaona matokeo yangu, naelezwa kwa ujumla tu eti hujachaguliwa!!!!!!! nani huyo anayechagua bila kuangalia matokeo??????
tunaona kila siku watu wamechaguliwa kujiunga form one lakini ufaulu wao haujulikani.
nchi jirani ya kenya wanatoa matokeo why not tanzania???