Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.
1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.
2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.
3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.
Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.